binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Wanahisi mahusiano ya raia na Polisi ni personal 😅Halafu wanapenda sana kupiga huo mkwala wa kuuliza "unaleta dharau". Sijui uko mafunzoni wanafundishwa kuabudiwa na raia

Wanahisi wametuoa raia! 🤣Penye kutumia sheria na haki wanatanguliza hisia🤦🏽♀️
Uncle, Gen Z sio jina la kenya.Akivunjwavunjwa msije kulialia.
Hao mnaita Gen Z fake si tuko nao majumbani.
Siku aliniletea mazarau nilitoka kihuni badae kakimbia ka mwizi huku namshindilia mawe,piga mtama chini kasanda.
Nilitaka nimshindilie jiwe la kichwa aliona hapa nafwa karukia miguuni kuomba msamaha huku analia.
Sasa nyie jitieni jeuri tu eti GenZ matako.
Mnaiga hadi jina kwa Wakenya pumbavu nyie hamna hata ubunifu wenu.
Akivunjwavunjwa msije kulialia.

Unajua nachoka kucheka leo😆Uncle, Gen Z sio jina la kenya.
Ninyi ndio wale wa elimu mbali mbali?
😅😅😅 I came in peace.
Ngoja akukute ana mitusi huyo. 😂Unajua nachoka kucheka leo😆
Gen Z ni jina la Kenya????Akivunjwavunjwa msije kulialia.
Hao mnaita Gen Z fake si tuko nao majumbani.
Siku aliniletea mazarau nilitoka kihuni badae kakimbia ka mwizi huku namshindilia mawe,piga mtama chini kasanda.
Nilitaka nimshindilie jiwe la kichwa aliona hapa nafwa karukia miguuni kuomba msamaha huku analia.
Sasa nyie jitieni jeuri tu eti GenZ matako.
Mnaiga hadi jina kwa Wakenya pumbavu nyie hamna hata ubunifu wenu.
We ndio umemchokoza utayaoga leo😂😂😂Ngoja akukute ana mitusi huyo. 😂
😂😂😂We ndio umemchokoza utayaoga leo😂😂😂
Mi nilijua wazee wana busara kumbe tena wana matusi🤭