Revealed: Watoto waliobemendwa ndio wanatukana sana Mitandaoni. Wazazi wao walikuwa Wazinzi

Revealed: Watoto waliobemendwa ndio wanatukana sana Mitandaoni. Wazazi wao walikuwa Wazinzi

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Wazazi waliokuwa wanachepuka, ndio wanazaa watoto wenye matatizo. Vijana wote wasio na mchango kwenye Taifa na wale wanaotukanana Mtandaoni, wazazi wao walikuwa Wazinzi, Washerati Washerati na wachepukaji.

Watoto wote waliobemendwa ndio wanaoongoza kwa matusi Mitandaoni🤣🤣🤣🤣
 
Wazazi waliokuwa wanachepuka, ndio wanazaa watoto wenye matatizo. Vijana wote wasio na mchango kwenye Taifa na wale wanaotukanana Mtandaoni, wazazi wao walikuwa Wazinzi, Washerati Washerati na wachepukaji.

Watoto wote waliobemendwa ndio wanaoongoza kwa matusi Mitandaoni
View attachment 3492799
Kwahiyo aakina Lucha,a.k.a bucha a.k.a luyka wanayo hiyo changamoto au??
 
Ĥuyo duh

Ameongea maneno kutukana watu,,,,,
Iweje mtu yana interest na content yake aangalie hadi mwisho. tena 30 secs nyingi,,,,, 3 sec uamuzi unafanyika,,,,,,

Ndi maana anahangaika,,,, biolojia sijui nini hiyo ni kushindwa,,,, itakuwa yeye ndio mfano wa kuzaliwa hivyo aliyoyasema,,,,
 
Ĥuyo duh

Ameongea maneno kutukana watu...
Iweje mtu yana interest na content yake aangalie hadi mwisho.. tena 30 secs nyingi.. 3 sec uamuzi unafanyika...

Ndi maana anahangaika.. biolojia sijuinnini hiyo ni kushindwa.. itakuwa yeye ndio mfano wa kuzaliwa hivyo aliyoyasema..
Kalibemendwa
 
Hahahaaa
 
Back
Top Bottom