Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Roho nyingine hazijaumbwa kupiga magoti, zimeumbwa kuogopwa na kuheshimiwa!
Huwezi pigisha magoti kila mtu!
Huwezi pigisha magoti kila mtu!
Utaomba kilatino nakwambia 😁Nikishakapiga tunaanza maombi ya kufunga wawili
Sadaka nakusanya mwenyew lknBwashee haka kasukuma nitafungua nacho kanisa
Ndio napenda 😋Utaomba kilatino nakwambia 😁
Shindikanaaa!😆Ndio napenda 😋
Ngoja nimwite😁Shindikanaaa!😆
Ni wewe apo umwite nani😂Ngoja nimwite😁
Sio mimi na weweNi wewe apo umwite nani😂
Mimi akhuu!!Sio mimi na wewe
Wewe mwenyewe sio wa daslamuMimi akhuu!!
Nyie watoto wa daslam ingekuwa mpo kwenye hii hali saiz kusingekuwa na watu barabarani 😁
AkhaaaWewe mwenyewe sio wa daslamu
Kweli tenaAkhaaa
Halafu wanapenda sana kupiga huo mkwala wa kuuliza "unaleta dharau". Sijui uko mafunzoni wanafundishwa kuabudiwa na raiaDharau ni kosa gani kisheria!? 😅
Watu wa vyombo vya ulinzi na usalama punguzeni kuwa emotional mtaumiza watu.
Ego zenu ziko weak sana, CCP Moshi panahitaji reform.
Hii sio baraPolisi Tanzania, hamna uwezo wa kupambana na Gen Z.
Kuna watu hawajui Gen Z.
Hawa ndo Gen Z wenyewe sasa. Moto wa kuotea mbali
View attachment 3493148
Kwamba bara mna roho mbaya sana au ni mazuuzu? SijakuelewaH
Hii sio bara
Ingekuwa Tanganyika hata muda wakuuliza kwa hioo usingekuwepo😆😆😆😅
Kisiwani wakiamua kuanzisha jambo lao hawategemei wakina Mange.Kwamba bara mna roho mbaya sana au ni mazuuzu? Sijakuelewa
Samahani lakini.Hizi ni Fahrenheit, hivyo katika centigrade ambazo tunatumia ni 23.3; 78 ni 25.6Mimi akhuu!!
Nyie watoto wa daslam ingekuwa mpo kwenye hii hali saiz kusingekuwa na watu barabarani 😁