Polisi wa Tanzania Uso kwa Uso na GEN Z. Haamini macho yake

Tatizo lenu ni wachochezi wa mitandaoni ,kwa kuleta habari za uongo kama hizi ndiyo maana hamuungwi mikono,shit!!
 
Habari za ma gen z ndio basi tena, chombo gani kitaripoti harakati zao wakati media zote zimetoa tamko lao?
 
Nilichoona kwenye orodha ya wapiga kura uchaguzi huu ni ma gen z ni wengi kuliko watu wa miaka ya70 kurudi nyuma, sasa hao wa kukiwasha wanatoka wapi wakati wamejiandikisha kupiga kura?
 
Mimi akhuu!!

Nyie watoto wa daslam ingekuwa mpo kwenye hii hali saiz kusingekuwa na watu barabarani 😁
Samahani lakini.Hizi ni Fahrenheit, hivyo katika centigrade ambazo tunatumia ni 23.3; 78 ni 25.6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…