SidhaniMuda wa ukombozi ukifika, sidhani kama hao policcm wako utawaona. Na wenyewe watakaa pembeni ili hayo yote yatendeke.
Hilo Kwa Tanzania haliwezekani utasubiri sanaNasuburi niende iStore Mlimani city nikajichukulie iPad, Apple Watch, iPhone, Mac buree..
I have patience!Hilo Kwa Tanzania haliwezekani utasubiri sana
Jidanganye tuHilo Kwa Tanzania haliwezekani utasubiri sana
Hiyo ni sehemu tu ya matokeo kutoka kwa watu waliojichokea na maisha, wakati watawala wakiyafaidi maisha hayo hayo.Sidhani
Sasa hiyo supermarket imewakosea Nini?
Hizi bunduki mnazotegemea kila siku mitutu yao ielekezwe kwa wapinzani kuna wakati itageuzwa kuelekea kwa hao wanaowatuma.Polisi wa Tanzania wako Vizuri kuliko wa Kenya ona Naivas Supermarket ilivyoporwa na waandamanaji mjini Naivasha katikati ya mji na hakuna polisi alitokea kuwazuia Ingekuwa Tanzania polisi wangeshatokea na kuwaonyesha Cha mtema Kuni Hao waandamanaji waporaji
View: https://youtu.be/6aVIx2qlLxg?si=PLkRmIXYD0NvBE-F
Unawaza kizamani sana kila wakati.Sijajua bado una changamoto gani!Hilo Kwa Tanzania haliwezekani utasubiri sana
Tena naona na wao wangejumuika kuibaMuda wa ukombozi ukifika, sidhani kama hao policcm wako utawaona. Na wenyewe watakaa pembeni ili hayo yote yatendeke.
Watanzania waoga au police wapo imara??Polisi wa Tanzania wako Vizuri kuliko wa Kenya ona Naivas Supermarket ilivyoporwa na waandamanaji mjini Naivasha katikati ya mji na hakuna polisi alitokea kuwazuia Ingekuwa Tanzania polisi wangeshatokea na kuwaonyesha Cha mtema Kuni Hao waandamanaji waporaji
View: https://youtu.be/6aVIx2qlLxg?si=PLkRmIXYD0NvBE-F
Wanadai ni ya mbunge aliyepiga kura ya ndio.Sidhani
Sasa hiyo supermarket imewakosea Nini?