Polisi wa Tanzania wako Vizuri kuliko wa Kenya ona Naivas Supermarket ilivyoporwa

Polisi wa Tanzania wako Vizuri kuliko wa Kenya ona Naivas Supermarket ilivyoporwa

Polisi wa Tanzania wako Vizuri kuliko wa Kenya ona Naivas Supermarket ilivyoporwa na waandamanaji mjini Naivasha katikati ya mji na hakuna polisi alitokea kuwazuia Ingekuwa Tanzania polisi wangeshatokea na kuwaonyesha Cha mtema Kuni Hao waandamanaji waporaji

View: https://youtu.be/6aVIx2qlLxg?si=PLkRmIXYD0NvBE-F

Hizi bunduki mnazotegemea kila siku mitutu yao ielekezwe kwa wapinzani kuna wakati itageuzwa kuelekea kwa hao wanaowatuma.
 
Hata hao askari nao ni raia pia,hawako exempted na ugumu wa maisha unaosababishwa na utawala mbovu
 

Attachments

  • IMG-20240625-WA0011.jpg
    IMG-20240625-WA0011.jpg
    67.9 KB · Views: 4
Back
Top Bottom