Polisi wa Zanzibar kuwakamata watu kisa kuwakuta wakila mchana kipindi cha Ramadhan ni uvunjifu wa sheria za Nchi

Mwanadamu anapigania dini ya Mungu wake.Kwa Nini Mungu mwenye uwezo asiwaadhibu hao wanaokula kinyume na maamrisho yake?
 
zanzibar wasituletee udini, huko sisi tumevuka tunapambana na ujinga mwingine....tusirudishane nyuma, kama mnataka mfunge muwe mnaishi misikitini hadi muumalize mwezi, msije mtaani mkazurula muone watu wakila bata halafu mimate iwajae bure, kama vipi msifunge pigeni misosi maana kula si dhambi, muache uongo, uizi, uzinzi, na madhambi mengine tu
 
Ukristo umeua kuliko dini yoyote je unafahamu hilo au unaongea tu?
sema waroma wameuwa kuliko wengine, ila sio wakristo. wapi wameuwa tueleze? wapi wakristo wanachapa watu wengine wasiofunga, wapi wanajitoa mhanga, wapi wanavikundi vya al shabab, wapi wanaamriwa kuua wasio wakristo.
 
Kwani mkatoliki na madhehebu mengine ya kikristo Kuna utofauti gani katika maamrisho na Amri kumi za Mungu?
yaani kumbe huwa mnatuweka kwenye kapu moja, mnakosea sana. wakatoliki wenyewe hawajawahi kutuweka kwenye kapu lao. kumbe hujui unachokiongea.
 
Reactions: 511
Ila sisi ni wazi tunapinga,wewe ntafutie kiongozi wa KIISLAM ambae ana SAPOTI Ujinga kama huo,haya PAPA yenu kasema mfumuane huko,haya peleka sehemu za kutolea haja kubwa ukafumuliwe.
Unaweza kutuelezea afande Rama kafumuliwa kwa amri ya Nani? Maana Nina uhakika hajawai kukanyaga kanisani.
 
Unaweza kutuelezea afande Rama kafumuliwa kwa amri ya Nani? Maana Nina uhakika hajawa kukanyaga kanisani.
Allah atuepushe kwa dhambi kubwa na dhambi ndogo,Asili ya jina la Ramadhani ni MUISLAM aliefanya hilo swala kutokana na asili yake ni MUISLAM kwa kuwa sijawahi kusikia mtu nje ya Dini tukufu ya KIISLAM anaitwa Ramadhani,Hakuna sehemu yoyote ile katika Uislam na mafundisho yake yote yanayo ruhusu jinsia moja kuingiliana,tumesha onywa kwa mifano mingi sana mfano watu wa Nabii Luti hivyo kwa yoyote yule anae fanya{kuingilia/kuingiliwa} basi Uislam ulishatoa Huku zake, Tanzania/Zanzibar zingekuwa zinatumia Sheria za KIISLAM basi huyo na wengineo adhabu yao ni kifo kwa sababu hawastahili kuishi wakiendelea kuishi wataharibu vizazi vyengine.


Allah anajua zaidi
 
yaani kumbe huwa mnatuweka kwenye kapu moja, mnakosea sana. wakatoliki wenyewe hawajawahi kutuweka kwenye kapu lao. kumbe hujui unachokiongea.
Nyie wote itabidi make kwenye Uzi mmoja kati nani ni mkweli Yani nani ni MKRISTU na nani ni MKRISTO,kisha mkishapata mkishapata jibu mje kwangu tena.
 
Sasa mbona hapa mnajinasibu wote kwenye KAPU LA KRISTO?
 
Kwani katiba ya jamhuri ya muungano inasemaje hapo ndio africa tunaponekana hatujielewi sheria inasema nchi haifuiti mrengo wowote wa dini ila kinachoendelea kinashangaza sana kuna kipindi Mtikila alikuwa anaenda zanzibar na anakula na hakuna aliyekuwa anamkamata maana walijua angefungua kesi ya kikatiba.
 
Wewe ni islamickabisa ambaye umajifificha kwenye kichaka Cha kujifanya ni mkristo
 
Dini zote na makandokando yake ni matokeo ya ujinga na zinakumbatiwa na watu majinga kwaio hata maamuzi yake ni ya kijinga.
 
sema waroma wameuwa kuliko wengine, ila sio wakristo. wapi wameuwa tueleze? wapi wakristo wanachapa watu wengine wasiofunga, wapi wanajitoa mhanga, wapi wanavikundi vya al shabab, wapi wanaamriwa kuua wasio wakristo.
Usikimbie jamaa.Waroma kina nani au waroma wapagani??
Waroma si ndio wameanzisha catholic??
Hao alshabaab tulishakusihi huo ni mlengwa wa kisiasa kabila la Mahara Somalia linapigana kwa mlengwa wa kiutawala kama ilivyo tigrinya walivyopigana Tigrey Ethiopia.
Pia ushaelezwa juu sheria hiyo ya wazanzibari sio ya waislam.
Ngojea nikutajie wakristo wameua wapi.
1)Crusade war.
2)World war 1&2.
3)Scramble and partition of Africa.
4)Iraq invasion during Saddam Hussein era.
5)Korean war 1950s.
6)Opium war 1&2.
7)Germany genocide against jews.
8)Regime change Libya,Syria,Egypt,Yemeni,Haiti.
Sema katika vita vyote hivyo waislam wanahusika??
 
Unaweza kutuelezea afande Rama kafumuliwa kwa amri ya Nani? Maana Nina uhakika hajawai kukanyaga kanisani.
Kuna sheria za uislam na matakwa ya kibinadamu.
Afande Rama kafanya matakwa yake ila dini haijaruhusu kwahiyo shauri yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…