Polisi wa Zanzibar kuwakamata watu kisa kuwakuta wakila mchana kipindi cha Ramadhan ni uvunjifu wa sheria za Nchi

Kama unavyopenda kuwanaga wenzako, na wewe hapa umpuyanga na "logical non sequitur"
Zanzibar hakuna mtu analazimishwa kufuata imani ya kiislamu na hivyo hivyo ukiwa mfano Dubai, wazungu wanakuja Zanzibar na wanakwenda Dubai, na wanaheshimu kipindi cha mfungo kutokula hovyo hadharani, na pia kuna mahoteli wanaruhusiwa kwenda kula, na sio kwamba kula hairuhusiwi.


Sasa hapa Zanzibar wapo wakristo tokea enzi na pia wazungu wanakuja kutalii tokea zamani, na wanaheshimu kila wakati wa mfungo kuna sehemu maalumu yakwenda kula na sio kula hadharani.

Ni kipindi cha hivi karibuni Zanzibar kuwa na ongezeko la watu wanaotoka Bara, na wanajiona wanaweza kufanya wanavyotaka bila kuheshimu huu utaratibu.
Ni hivi kama hutaki kuufuta hivyo , ondoka au usije Zanzibar haukulazimishwa, ikiwa wakristo wazawa wa Zanzibar tunaishi nao vizuri tu na pia watalii wanafuata utaratibu,
 
Pole sana.
Znz siondoki kufunga sifungi wala si silimu ,na hela naendelea kupiga kama kawa nyie kalieni uvivu wenu
Sio nyinyi ndio wavivu na huko kwenu mpaka umekosa ajira unakuja huku
Wala usifunge hakuna mtu analazimishwa kufunga, ila tukikukuta unakula hovyo barabarani ni viboko, au fuata utaratibu, kula ndani kwako au kwenye sehemu zilizoruhusiwa
 
na ndio maana tunaikemea hiyo sheria potofu kwa sababu ya upuuzi kama huo. kwa aina ya akili za watu wa kule italeta hitilafu zaidi kwa watu kujiendea kwa kutenda kama hivi na kuwaumiza wengine bila kujali mazingira ya hao wanaokula.
 
lete ushahidi kama uislam dini ya kikatili.
Kama we mwanaume kweli lete huo ushahidi hapa,laa sivyo niko radhi nikutusi kama

Permitted stealing from unbelievers. (Bukhari 44:668, Ibn Ishaq 764)

Permitted lying. (Sahih Muslim 6303, Bukhari 49:857)

Owned and traded slaves. (Sahih Muslim 3901)

Beheaded 800 Jewish men and boys. (Abu Dawud 4390)

Murdered those who insulted him. (Bukhari 56:369, 4:241)

If then anyone transgresses the prohibition against you,
Transgress ye likewise against him" (Quran 2:194)

Jihad in the way of Allah elevates one's position in Paradise by a hundred fold.
(Muslim 4645)

Married 13 wives and kept sex slaves. (Bukhari 5:268, Quran 33:50)

Slept with a 9-year-old child. (Sahih Muslim 3309, Bukhari 58:236)

Ordered the murder of women. (Ibn Ishaq 819, 995)

Ordered 65 military campaigns and raids in his last 10 years. (Ibn Ishaq )

Killed captives taken in battle. (Ibn Ishaq 451)

Encouraged his men to rape enslaved women. (Abu Dawood 2150, Quran 4:24)

Demanded captured slaves and a fifth of all other loot taken in war. (Quran 8:41)

Was never tortured, but tortured others. (Muslim 4131, Ibn Ishaq 436, 595, 734, 764)
 
Ndio maana kule juu nimewaeleza watu uislam hauna sheria hiyo ila Zanzibar kama Zanzibar ndio wana sheria hiyo.
Hivyo hiyo ni sheria ya Zanzibar sio sheria ya uislam.
MAANA WATU WANAUSHUTUMU UISLAM JUMLA.
 
Pole sana.
Znz siondoki kufunga sifungi wala si silimu ,na hela naendelea kupiga kama kawa nyie kalieni uvivu wenu
Inahusiana nini na comment yangu??
Hujakatazwa we ishi kokote upendako.
Mie sio mzanzibari ila hili sakata msihusishe waislam wote.
 
Kwa hiyo kiingiacho si haramu,ama kweli nyie ndio maana Viongozi wenu wanaendelea kubariki ndoa za jinsia moja,na mlivyo makafiri sasa hata hampingi pia ndio maana mnaendelea kuwatajirisha Wachungaji wenu pamoja na kulishwa/kunyweshwa na kupakwa vitu visivyo faa.
 
unamaanisha ushoga kama ule wa zanzibar, au upi? si tumesikia zanzibar waziri katangaza kuna mashoka kama alfu tatu na ushee hivi. wote hao wanasodomiana, including yule polisi aliyejirekodi kabisa.
Ila sisi ni wazi tunapinga,wewe ntafutie kiongozi wa KIISLAM ambae ana SAPOTI Ujinga kama huo,haya PAPA yenu kasema mfumuane huko,haya peleka sehemu za kutolea haja kubwa ukafumuliwe.
 
Hujajibu swali.

Achana na Wakristo.

Waislamu wakiwa Japan huko, watu wankula nguruwe.

Waislamu walazimishwe wale nguruwe mwezi wa Ramadhani kwa sababu wanatakiwa kuheshimu dini za wenyeji wao?

Kwa nini unakwepa swali hili?
 
Hujajibu swali.

Achana na Wakristo.

Waislamu wakiwa Japan huko, watu wankula nguruwe.

Waislamu walazimishwe wale nguruwe mwezi wa Ramadhani kwa sababu wanatakiwa kuheshimu dini za wenyeji wao?

Kwa nini unakwepa swali hili?
Umeandika Gazeti sina muda mmbovu wa kusoma Gazeti ambalo halina mashiko haya
Hujajibu swali.

Achana na Wakristo.

Waislamu wakiwa Japan huko, watu wankula nguruwe.

Waislamu walazimishwe wale nguruwe mwezi wa Ramadhani kwa sababu wanatakiwa kuheshimu dini za wenyeji wao?

Kwa nini unakwepa swali hili?
Hamna akili sina muda wa kusoma Gazeti mtafute jamaa anae itwa MKWAWE kisha kasome andiko aliloandika NOV 17
 
Ila sisi ni wazi tunapinga,wewe ntafutie kiongozi wa KIISLAM ambae ana SAPOTI Ujinga kama huo,haya PAPA yenu kasema mfumuane huko,haya peleka sehemu za kutolea haja kubwa ukafumuliwe.
Huyo ndie mbora katika ushoga.

Muhammad claimed homosexuality was wrong, he himself was involved in homosexual behavior.

Jami` at-Tirmidhi 2732,Narrated 'Aishah: A man kissing Muhammad's bare chest.

"Zaid bin Harithah arrived in Al-Madinah while the Messenger of Allah was in his house. So he went and knocked at the door, so the Messenger of Allah stood naked, dragging his garment - and by Allah! I did not see him naked before nor afterwards - and he hugged him and kissed him."

Muhammad dragged a boy into his tent and sodomised him, his followers standing outside heard the screams of the boy.
 
Umeandika Gazeti sina muda mmbovu wa kusoma Gazeti ambalo halina mashiko haya

Hamna akili sina muda wa kusoma Gazeti mtafute jamaa anae itwa MKWAWE kisha kasome andiko aliloandika NOV 17
Wewe hujui kusoma kubali tu. Usisingizie gazeti.

Hujasoma.

Ni ngumbaru.

Ndiyo maana hata nikiandika maneno mawili tu, "minority rights", huyaelewi.
 
ninachoshangaa, unasema kula mwezi wa ramadhani ni ushetani, bila kujua kuwa uislam wenyewe ni ushetani. au tukufafanulie zaidi huo ushetani? utakuwa tayari kupata za uso?
Na wao nao wanaona kumwita yesu ni Mungu ni ushetani kabisa .
 
Usiliunge mkono tu uwarabuni ndio DINI ilipo lakini Watu Wanakula na bakora hawapigwi,au kingemkuta ndugu yako ungeunga mkono??? Watanzania hatujika huko hawa Wazenji Wanaona kuwa weupe ndio waaribu kumbe Kama hujii wazanzibar wana ubaguzi sana wa rangi.
 
Nipe maandiko yanayo kataza kula nguruwe?
 
Hivi kuna mtu anachukua chakula anaenda kulia nje??
Au hadharani ikoje?

Kama ni hivyo Zenji sio kwa kwenda maana hao wajinga wanaweza kukuua kijinga tu.
 
Ukristo umeua kuliko dini yoyote je unafahamu hilo au unaongea tu?
 
Nipe maandiko yanayo kataza kula nguruwe?
Kutoka katika Quran tukufu “Yeye amekuharimishieni mzoga na damu na nyama ya nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu.” (al-Baqara, 2/173; an-Nahl, 16/115)
“Mmeharimishiwa nyamafu, na damu, na nyama ya nguruwe, na mnyama aliye chinjwa si kwa ajili ya Mwenyezi Mungu,...” (Surah al-Maeda, 5/3)
Kutoka kwenye Agano la kale
Agano la Kale katika Biblia imekataza ulaji wa nguruwe na akafanywa kuwa ni haramu: “Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…