Polisi wa Zanzibar kuwakamata watu kisa kuwakuta wakila mchana kipindi cha Ramadhan ni uvunjifu wa sheria za Nchi

Agano jipya linasemaje kuhusu kula hivyo vitu vilivyo itwa najisi?
 
Wanadai sheria za kiislamu ndio sheria za Mungu kwa wanadamu wote na wanayo hiyo haki dunia nzima , kwasababu uislamu ni dini ya haki na dunia yote mali ya Allah , popote alipo mwislamu mmoja ni bora kuliko makafiri 1000.
 
Agano jipya linasemaje kuhusu kula hivyo vitu vilivyo itwa najisi?
Wewe pimbi kweli wewe si umesema nilete evidence kutoka kwenye Bible,sasa Agano la kale sio Bible but agano jipya ndio Bible,endelea kukaza FUVU huko viongozi wenu wakiwa wanaendelea Kubariki ndoa za Jinsia moja.
 
Nawatakaga sana nyie mnao copy and paste pasi na kuelewa maana.
Tuanze na Qur'an. 2:194.
Mtume anaambiwa yeyote atakayekufanyia ubaya nawe mfanyie sawia.Bimaana kulipa kisasi
 
Wewe pimbi kweli wewe si umesema nilete evidence kutoka kwenye Bible,sasa Agano la kale sio Bible but agano jipya ndio Bible,endelea kukaza FUVU huko viongozi wenu wakiwa wanaendelea Kubariki ndoa za Jinsia moja.
Hebu pitia hivi vifungu kwanza
Marko 7:18-19
Waebrania 13:9
Warumi 14:2 14:20
 
Unaleta copy and paste huelewi maana yake??
KUna mateka wa vita na kuna watumwa.
Uislam umekataza utumwa ila mateka wa vita unaweza ukawaachia kwa kudai fidia ama kama wakikubali ukawaoa pia ila hauruhusiwi kuwafanya watumwa.
Embu kula chuma hiko
 
Entitlement ya kijinga kabisa, kwamba huwezi kuheshimu anayekula, ila unataka heshima iwe kwako. Dini zinalisha wajinga badala ya kuwafanya werevu.
 
Wanadai sheria za kiislamu ndio sheria za Mungu kwa wanadamu wote na wanayo hiyo haki dunia nzima , kwasababu uislamu ni dini ya haki na dunia yote mali ya Allah , popote alipo mwislamu mmoja ni bora kuliko makafiri 1000.
Hizi ni siasa za watu kutaka kuwafanyia wengine ukol9ni wa kiutamaduni tu.

Kibaya zaidi kuna Waafrika wengi ambao ni Waislamu wameshikwa katika ukoloni huu wa kiutamaduni wanakuwa wanyapara wa kueneza ukoloni wa kiutamaduni wa Waarabu duniani.

Ujinga mtupu.
 
Qur'an 4:24 inaelezea wale ambao tumeruhusiwa kuwaoa na ambao haturuhusiwi kuwaoa.
Kula chuma hiko.
 
Hebu pitia hivi vifungu kwanza
Marko 7:18-19
Waebrania 13:9
Warumi 14:2 14:20
Hebu rudia me nilicho leta,
Hebu pitia hivi vifungu kwanza
Marko 7:18-19
Waebrania 13:9
Warumi 14:2 14:20
Jibu kwanza Agano jipya la nani na Agano la kale la nani,na kwanini kuna utofauti kati ya Vitabu hivyo viwili,kimoja cha kale kinakataza vinavyo takiwa kukatazwa na hiko kipya kimelegeza zaidi,muwe natumia akili kupembua ipi chuya ipi Michele,njoo kwenye kitabu ambacho Allah/Mwenyezi Mungu ameapa ya kuwa atakilinda ukikuta Quran zina Utofauti wowote njoo tena KAFIRI WEWE
 
Qur'an 8;41 inaelezea kuwa ngawira itayopatikanika baada ya vita inatakiwa igawiwe kwa kina nani.
Kula chuma hiko
 
Mwisho nikuambie kitu kimoja.
Katika uislam ili hadithi ijulikane dhaifu ama sahihi kuna mambo mawili.
Kwanza kuna qatwiyu thubuti na kuna qatwiyu dilalah.
Yani hadithi inatakiwa iwe imepata mapokezi ya wanazuoni au maswahaba wakubwa pili INATAKIWA ISIPINGANE NA QUR'AN PAMOJA NA WASIFU WA MTUME.
UKIONA HADITHI INAPINGANA NA QUR'AN HIYO DHAIFU YA KUTUNGA NA MTUME HAKUISEMA WALA KUIISHI.
KWA MUJIBU WA VIPIMO ULIVYOLETA HADITHI ZAKO ZOTE BATILI ZINAPINGANA NA QUR'AN.
Kuhusu utumwa nenda kamsome BILAL IBN RABBAH AMBAYE ALIOKOLEWA TOKA UTUMWANI NA MTUME KUPIGA MBIU KUVUNJA UTUMWA.
UISLAM HAUKUBALI UTUMWA.
 
Tunakuja pale pale katika ushoga.
Qur'an ilieleza katika suratul Hud ayah kuanzia ya 79 mpaka 84 jinsi watu wa Sodoma na Gomora Mungu alivyowaadhibu.
Hivyo ushoga katika uislam ni dhambi.
Tunarudi tena hadithi zako hazina ithbati maana zinapingana na USHAHIDI MAMA AMBAO NI QUR'AN.
 
Hapa hatuzungumzii waisraeli tunazungunmzia akili zenu sio nzuri
Usihusishe tukio hilo na waislam wote.
Kuweni na adabu na akili.
Waislam wengi tupo vizuri na tuna establish sheria nzuri.
La Zanzibar sio la waislam.
Mmesikia ninyi wagalatia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…