Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Tanzania Nchi Yetu Sote

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2017
Posts
505
Reaction score
872
Katika hali inayoonesha kuwa taarifa zinavuja kwa kasi na ishara kuwa mange anakubalika kwa watu wengi hata ndani ya system hii leo mange amepost waraka anaodai kutumiwa na mtu toka ndani ya system.

Waraka huo ulioandikwa siri unaelekeza baadhi ya maofisa wa mikoani kutoa taarifa haraka iwezekanavyo kwa vyombo husika pindi atakapoonekana maeneo ya mipakani ili akamatwe na kujibu kesi zinazomkabili.



Mwitikio wa MangeKimambi

(Attachment imeondolewa sababu ya lugha kali)
 
Mange kaumiza maisha ya watu wengi sana, kachonganisha mahusiano ya watu, ni mtu wa 'kwanini', ana wivu sana anapoona mwanamke mwenzie anatusua.

Ni kundi la watu aina ya 'psychopath' - yani mtu mwenye chuki sana na watu, hana huruma na yupo tayari kuona damu ya mwenzie ikimwagika ndio furaha ije usoni mwake.

Japo kwa upande mwingine anaraise issues ambazo zinatuhusu , hasa uovu wa watawala wetu, lkn katika suala la maisha ya watu binafsi anakosea sana.

Watu wengine hawanaga maneno, hawataki visasi, utawaharibia lkn karma haitakuacha ukatize salama.
 
Mhhh!!! cjui labda anaweza akawa jini huyu Mange labda,lakini kama ni binadamu...hizi kazi si tungepewa hata sisi wengine!!!Mange...
 

Ahaha kawashika pabaya.
 
What about side yake ya kufichua maovu ya viongozi? Mange huyu huyu mlimshangilia sana alipokuwa anahubiri juu ya Ugonjwa wa Lowassa... sasa hv anawanyuka mnaanza kumsaka. mwafaz aisee.... poleni sana.
 
Kumbe kelele zote hizi siku zote hizi bashite ni mwanamke? Yaani nilikua nashabikia kitu sikijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…