Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Mange kaumiza maisha ya watu wengi sana, kachonganisha mahusiano ya watu, ni mtu wa 'kwanini', ana wivu sana anapoona mwanamke mwenzie anatusua.

Ni kundi la watu aina ya 'psychopath' - yani mtu mwenye chuki sana na watu, hana huruma na yupo tayari kuona damu ya mwenzie ikimwagika ndio furaha ije usoni mwake.

Japo kwa upande mwingine anaraise issues ambazo zinatuhusu , hasa uovu wa watawala wetu, lkn katika suala la maisha ya watu binafsi anakosea sana.

Watu wengine hawanaga maneno, hawataki visasi, utawaharibia lkn karma haitakuacha ukatize salama.
Sasa kwamfano mwanamke gani anamuongelea hivi sasa?
 
What about side yake ya kufichua maovu ya viongozi? Mange huyu huyu mlimshangilia sana alipokuwa anahubiri juu ya Ugonjwa wa Lowassa... sasa hv anawanyuka mnaanza kumsaka. mwafaz aisee.... poleni sana.
Nilichokiandika hope umeelewa, sijatumia lugha ngumu.

Japo mimi si mwanasiasa, nimesema anafanya vyema kuonesha nyufa zilizopo kwa viongozi wetu na utawala wao, lkn linapokuja suala la kuchokonoa maisha binafsi ya watu anakua anakosea sana.

Angalia suala la Familia ya Diamond, familia ya Mwamvita, maisha ya Faiza Ally, kina Majizo. Hapa anaharibu sana kuingilia personal issues za watu.
 
Nimekuelewa mkuu.
 
Naona anawatia damage za ukweli, te te te
 
Nyumba kubwa kunavuja kuna leakage mahali.... Muundo wetu wa habari za siri sio air tight mark tena! Kuna mianya

Mange amekuwa the first to know figure kwenye mambo mengi sana... Ni nani anampenyezea habari nyeti kabisa? Za watu binafsi na hata nyumba kuu? Au ni wale wanajeshi mashushushu waliokuja na Obama Kisha tukawakabidhi paa letu ili waangalie usalama?

Mange amekuwa snowden wa Tanzania.. Lakini sijui Kama kwa hali ilivyo atavumiliwa sana....namkumbuka Ben pekeyake na chatu
Leo kwa habari za chini ya zulia ilitoka hati ya kumkamata pengine huko aliko lakini akainyaka kabla haijamfikia rasmi... Kama kawaida yake kawafungukia mbaya

Namkumbuka Karegeya wa Rwanda na kilichompata hotelini South Africa peke yake chumbani
 
Back
Top Bottom