Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Mange kaumiza maisha ya watu wengi sana, kachonganisha mahusiano ya watu, ni mtu wa 'kwanini', ana wivu sana anapoona mwanamke mwenzie anatusua.

Ni kundi la watu aina ya 'psychopath' - yani mtu mwenye chuki sana na watu, hana huruma na yupo tayari kuona damu ya mwenzie ikimwagika ndio furaha ije usoni mwake.

Japo kwa upande mwingine anaraise issues ambazo zinatuhusu , hasa uovu wa watawala wetu, lkn katika suala la maisha ya watu binafsi anakosea sana.

Watu wengine hawanaga maneno, hawataki visasi, utawaharibia lkn karma haitakuacha ukatize salama.
Mange is not psychopath... huwez ukamuweka mtu kwenye hilo kundi bila vipimo maalum..
Kuna makundi kibao... ambao wana act kama pyschopath... na kuna ambayo hawa ni wabaya kuliko pyschopath.

Wewe umemuweka ktk kundi hilo sababu ya political issues.. na anavyoanika mambo.

mm na sema mange ni whistle blower....
 
Serikali haiwezi kuhangaika na mange, mange hayupo serikalini, yupo US sasa wamtafute ili iweje? Hao hao serikalini wachungze kama kuna mtu anatoa siri zao, ila mange ni ki mbwa flani hivi tu huwa kinapewa taarifa tu, yani ni kama kuwadi tu, wamuache maana hata maisha hakana jamani, ila anasaidia tu ku challenge serikali
 
Back
Top Bottom