Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Kumuumiza nani kwani anachoongea mange kina uongo acheni kuwa na nidhamu ya uoga hii ni tz ya Karne ya 21 sio Ile ya zama za mababu acha aendelee kufichua maovu Yao me namuombea mungu amlinde na ampe maisha marefuuuuu
Kwani Mange umejua leo Dada?Umemfahamu kwenye sakata la Makonda eeh?
 
Pasi huwa ina muda wa kutumika,lazima ukaombe tena katika kituo kilichotolewa kwa mara ya kwanza.Mkuu au huna passport?
Cio kwel kuwa lazma uende kwny kituo ilipotolewa unaeza kurenew passport ako kwny ofis yotote ya uhamiaji nchini,inaonekana nawew huna PPT
 
Cio kwel kuwa lazma uende kwny kituo ilipotolewa unaeza kurenew passport ako kwny ofis yotote ya uhamiaji nchini,inaonekana nawew huna PPT
Afisa wa kwenye nchi uliopo ana uwezo wa kukataa maombi yako na kukushauri urudi nyumbani
Ndio maana ile barua imenakiliwa mipakani na balozini,badala ya kuwa na busara,Mange anatukana afisa wa serikali .peke yake hilo ni kosa ambalo inaweza kuombwa extradition order.
 
Mange hana akili zenu mkuu, kwa sasa atakuwa tayari keshapata ukimbizi wa kisiasa sasa Ingia marekani ukamfanyie lolote kama utatoka pale marekani na ukifanikiwa basi huo mgogoro ule wa Malysia na North korea itakuwa cha mtoto!! Mtakojoa mkiwa mmechuchuma japo ni wa jinsia ya kiume
Hivi unafikiri ukimbizi wa kisiasa unapewa kirahisi hivyo??? yeye akirudi tu cha moto atakiona!
 
Kumbe ukweli una uma eeeeeehh...mangekimambi mtamuweza wapi bana wacheni hizoo... Mnafikilia ana kaa buguruni uko bomoa bomoa.. Ovyo kabisa yaan... Mnashindwa kufanya ya maana mmebakia kutisha watu tuu..
 
Huyo atapatikana tu kumbukeni "Ze Utamu"? Tena ana Passport ya TZ!!!
January makamba mwenyewe alimsuburi at
Huyo atapatikana tu kumbukeni "Ze Utamu"? Tena ana Passport ya TZ!!!
January makamba mwenyewe alimsuburi alimsubiri mpka akatua nchini ndo akamkamata sio rahisi alafu huyu hajaanza Leo tangu enziiiiiiiii
 
Mange kaumiza maisha ya watu wengi sana, kachonganisha mahusiano ya watu, ni mtu wa 'kwanini', ana wivu sana anapoona mwanamke mwenzie anatusua.

Ni kundi la watu aina ya 'psychopath' - yani mtu mwenye chuki sana na watu, hana huruma na yupo tayari kuona damu ya mwenzie ikimwagika ndio furaha ije usoni mwake.

Japo kwa upande mwingine anaraise issues ambazo zinatuhusu , hasa uovu wa watawala wetu, lkn katika suala la maisha ya watu binafsi anakosea sana.

Watu wengine hawanaga maneno, hawataki visasi, utawaharibia lkn karma haitakuacha ukatize salama.
Kabisa simpendi tok alivyomtukana Lowasa yan yule ni mgonjwa wa akili
 
Kumuumiza nani kwani anachoongea mange kina uongo acheni kuwa na nidhamu ya uoga hii ni tz ya Karne ya 21 sio Ile ya zama za mababu acha aendelee kufichua maovu Yao me namuombea mungu amlinde na ampe maisha marefuuuuu
Nashangaa...aliowataja kuuza nganda wamo kwenye list ya muheshimiwa...kwa nini sasa mnamuita muhongo? kwa nini mnasema ana wivu..???
 
Naombeni msaada hivi huyu mtu ni nani haswa why is she vry popular like this, what is so special to this person? Coz nimebaki kumsikia tu pasipo Kuelewa anafnya kazi gan na imekuwaje kwnye hii ishu ya makonda character msaidizi. Nisaidien jamn
Kanunue smart phone utamjua yeye ni nani...kwi kwi kwi...yani kuna watu wanamuongelea huyu dada hadi nabaki mdomo wazi...ni watu wazima lakini keshawavuta na sasa wanamuona kama amka na BBC
 
MANGE ANALINDWA NA MUNGU, NO WEAPON FORMED AGAINST HER SHALL PROSPER. UKIFANYA KAZI YA MUNGU UNALINDWA NA MUNGU. NA HATA AKIPOTEZWA MUNGU ATAYAAMURU MAWE YATUTETEEE WABONGO KAMA IKIWA INAMFAA MACHONI PAKE.

NYIE WENYE MAJESHI, KWA MAJESHI HAMJAMKARIABIA FARAO HATA ROBO, KWA HIO MSIMTISHE MTUMISHI WA MUNGU MANGE.

Au wewe ndio Mange nini?

Kwa hizi dua inaonesha huwa unafunga kabisa kwa ajiri ya Mange.
 
January makamba mwenyewe alimsuburi at

January makamba mwenyewe alimsuburi alimsubiri mpka akatua nchini ndo akamkamata sio rahisi alafu huyu hajaanza Leo tangu enziiiiiiiii
Saa hizi ameingia penyewe wakati ule alikuwa anadeal na mtu sasa anadeal na serikali hiyo document ni ya serikali na imekuwa marked "Siri". Anyway ngoja tuone mwisho wake.
 
hiyo Tiger Motel ndio mali nyingi?si auze tu.Kwa hali hii Mange kawaumiza wengi sana kwa cyber bullying,unadhani anaanzaje kurudi Tanzania kwa hiari yake na chama gani kitamteua kugombea ubunge
amesema atarudi bongo mwaka 2020 pale chadema watakapochukua nchi..
 
Back
Top Bottom