Passport itakapoisha muda wa kutumika tu ndo ataujua mji!!!amesema atarudi bongo mwaka 2020 pale chadema watakapochukua nchi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Passport itakapoisha muda wa kutumika tu ndo ataujua mji!!!amesema atarudi bongo mwaka 2020 pale chadema watakapochukua nchi..
Swali la kujiuliza kwani yeye anafanya kazi serikalini? Ingelikuwa yeye anafanya kazi serikalini sawa. Watafutane wenyewe hukohuko serikalini. Na inabidi wajifunze tu kuwa mtu mzima na familia yake na wajukuu zake huwezi ukamuweka kwenye mazingira ya digidigi kama wanavyofanyiwa wafanyakazi wa bongo nowdays. Wata-misbehave tu.Saa hizi ameingia penyewe wakati ule alikuwa anadeal na mtu sasa anadeal na serikali hiyo document ni ya serikali na imekuwa marked "Siri". Anyway ngoja tuone mwisho wake.
Akimpata mwanasheria mzuri aki-frame kesi yake ataonekana ana serious issue na aerikali yake hivyo inabidi aishi kama asylum ndani ya US. Serikali ya US inajua vizuri sana kwamba Tanzania ilipitisha sheria kandamizi ya habari hivyo yeye ni "activist" anayepingana na sheria hiyo.Passport itakapoisha muda wa kutumika tu ndo ataujua mji!!!
Mpuuzi wewe, so you think serikali imemshndwa kumkamata mange ??Wadanganye huko Simiyu!!!
u r pathetic, u can't even argue with facts, u r a disgrace to all men in this world [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Sheria ya kimataifa uwezi kunyima mtu Passport wakati wa ku renew unless unaushahidi kiwa anauraia wa nchi nyingine.Kwa marekani akisema wamemyima passport kwa sheria za kimataifa anapewa karatasi maalum ya kuishi nchini kwao.Yeye pia ana advantage kwa kuwa watoto wake ni wamarekani na wanamzazi ambaye ni mmarekani na wako under 18Passport itakapoisha muda wa kutumika tu ndo ataujua mji!!!
Endelea kuota!!Sheria ya kimataifa uwezi kunyima mtu Passport wakati wa ku renew unless unaushahidi kiwa anauraia wa nchi nyingine.Kwa marekani akisema wamemyima passport kwa sheria za kimataifa anapewa karatasi maalum ya kuishi nchini kwao.Yeye pia ana advantage kwa kuwa watoto wake ni wamarekani na wanamzazi ambaye ni mmarekani na wako under 18
Kama kaka ake Kim Un
Ndiyo ni Kuala Lumpur, lkn plan zilipangwa wapi na watekelezaji ni kina nani? Kwanini balozi wa N.Korea alitimuliwa? Na kwanini N. Korea hawakutaka uchunguza ilihali raia(kaka wa rais) wa N. Korea kauwawa ugenini?Kim un ilitokea Kuala Lumpur Malaysia
Wewe ndio utakua umejinyea tayariNa mtajinyea tu kashafikia followers 1m![]()
Walaaaaaaaa!! Mange namjua tangu anasoma udsmKwani Mange umejua leo Dada?Umemfahamu kwenye sakata la Makonda eeh?
Kaeni mkimsubiri mnachekesha kweli nyieHivi unafikiri ukimbizi wa kisiasa unapewa kirahisi hivyo??? yeye akirudi tu cha moto atakiona!
Kwani Mange umejua leo Dada?Umemfahamu kwenye sakata la Makonda eeh?
Kabisaaaaa kumbe na wewe wamjua kitamboooooJanuary makamba mwenyewe alimsuburi at
January makamba mwenyewe alimsuburi alimsubiri mpka akatua nchini ndo akamkamata sio rahisi alafu huyu hajaanza Leo tangu enziiiiiiiii