iJamii
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 1,960
- 1,502
Kwanza kwa watoto wale aliozaa na rais wa US c ajabu na yeye ni raia wao so wakimgusa lazima moto utawaka. Si mnajua vile nchi za wenzetu zinavyojali sana raia wakeKwa sirikali ya tanzania kufanya kitu kama cha rwanda ndani ya nchi ya marekani?sijui impact yake itakuwaje.yule anaringia nchi aliyopo inamlinda na ni taifa kubwa