Kwahiyo kwakuwa huyo anayetafutwa ni team ufipa akiambiwa Maneno Haya yana mchoma sana kumtima.Pia maneno hayo waambie ccm
Mwenyewe kashasema haogopi kufa, kwani kuna atakayeishi milele?[emoji23] [emoji23]Muda ndo mwalimu mkweli
Mbona kwa Ben hamjafanya kitu?ASIJE NCHINI MPAKA UTAWALA HUU UTAKAPOPITA, HATA HIVYO AKIDHURIKA TU. " HATUTAIELEWA........."(Tutajua tupo rwanda)
Tatizo alisahau msemo wa wahenga usemao kuwa "Mbio za sakafuni huishia......" na "hakuna marefu yasiyokuwa na ...."
Nilicheka hadi basi...eti kumtahiri bila ganzi[emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji23]Kasema wakimkamata wanaweza kumtahiri bila ganzi so, anataka awape damage ya kutosha.
Huyu mange huyu ana kesi za kujibu nyingi tu. Issue sio kukosoa serikali au kumkosoa mtu, issue ni jinsi anavyokosoa aisee anaandika matusi makubwa makubwa tena ya nguoni.
Mfano alivyomtukana huyo kamishina kwa kweli si jambo jema. Kosoa, weka uovu wa watu lakini si kumtukana mtu hapo ndipo ananikeraga. Wanae wanajifunza nini sasa kama mama anatukana kiasi kile? Najiuliza tu anaweza kweli kukemea wale watoto wasitukane?
Ila atakuja kukipata anachostahili mwisho wa siku, sometimes najiulizaga hivi huyu dada kashushwa? Hana ndugu ? Familia yake wanajisikiaje anavyotukana kiasi kile.
Kila mtu ana lengo la kuja hapa duniani na kila kitu inachofanya kina mgusa mwingine direct au indirect....hakuna kitu maisha Yangu....hiki kitu kinatucost sana. Anachofanya sasa kinaweza kuja kuwacost hata wanawe kwa namna moja au nyingine....
Haaa haaa demu kapinda yule...sijapata ona!Mwenyewe kaishia kusema mpmb yao teh
na kitawacost wengi hasa wanaovujisha siri na kumtumia......hasa watumishi wa serikali...mfano aliyemtumia hiyo barua ya siri....kama wewe ni mtumishi wa serikali na unahusika kuvujisha siri....jipime.... tingatinga linakaribia kufika!Huyu mange huyu ana kesi za kujibu nyingi tu. Issue sio kukosoa serikali au kumkosoa mtu, issue ni jinsi anavyokosoa aisee anaandika matusi makubwa makubwa tena ya nguoni.
Mfano alivyomtukana huyo kamishina kwa kweli si jambo jema. Kosoa, weka uovu wa watu lakini si kumtukana mtu hapo ndipo ananikeraga. Wanae wanajifunza nini sasa kama mama anatukana kiasi kile? Najiuliza tu anaweza kweli kukemea wale watoto wasitukane?
Ila atakuja kukipata anachostahili mwisho wa siku, sometimes najiulizaga hivi huyu dada kashushwa? Hana ndugu ? Familia yake wanajisikiaje anavyotukana kiasi kile.
Kila mtu ana lengo la kuja hapa duniani na kila kitu inachofanya kina mgusa mwingine direct au indirect....hakuna kitu maisha Yangu....hiki kitu kinatucost sana. Anachofanya sasa kinaweza kuja kuwacost hata wanawe kwa namna moja au nyingine....
Anamshinda mfalme kwa wivu na chuki?Mange kaumiza maisha ya watu wengi sana, kachonganisha mahusiano ya watu, ni mtu wa 'kwanini', ana wivu sana anapoona mwanamke mwenzie anatusua.
Ni kundi la watu aina ya 'psychopath' - yani mtu mwenye chuki sana na watu, hana huruma na yupo tayari kuona damu ya mwenzie ikimwagika ndio furaha ije usoni mwake.
Japo kwa upande mwingine anaraise issues ambazo zinatuhusu , hasa uovu wa watawala wetu, lkn katika suala la maisha ya watu binafsi anakosea sana.
Watu wengine hawanaga maneno, hawataki visasi, utawaharibia lkn karma haitakuacha ukatize salama.