Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Hahahaha! Ila unaweza chukua miaka 5 mpaka 10 kupata angalau degree ya ushilwadu kwasabbu hufanani nayo mambo niyakina warumi , miss natafuta,miss chaga, moniccca na kina sky
Mange ni next level, untouchable
 
BINAFSI NAOMBA SANA ASHIKWE AKAJIBU KESI ALIZO NAZO, SIWEZI KUMTETEA HABITHI(MZANDIKI). AKIAMBIWA UKWELI KUHUSU MAKOSA YAKE NI ANAKUBLOCK.
utshikwa wewe kwa taarifa yako[/QUOTE]
Wa lumumba mmeishiwa hoja mnabaki kutapa tapa tuuu
 
Hili LA basbite naona kama limeanza kuboa hv,au kukinaisha,polepole litafutika,nadhani muda utamshindia hii vita.
Mkuu hiyo muvi haiishi wala nini. Imekaa sana kwenye mitandao sasa imeanza kutoka nje. Majuzi rungweee na suguuu waliongea, hii kitu bado itaexist as along as daudi yupo in the system mpaka atakapo acha maneno na kuweka vyeti ama la akae pembeni.
 
Hawajaamua kumnasa tuu..
Aa wapi, kama wangeweza kumnasa basi wasinge hangaika na barua za siri kwenye exit na entry zote za nchi nzima kumtega. Mange ni U.S.A baby, huwezi kumkamata kirahisi kama unavyodhani wewe.
 
mbona hiyo doc haionekani kuwa ni ya siri. ni tangazo au taarifa kwenda vituo vyote vya uhamiaji, kwangu si tangazo la siri na wala halionyeshi kuwa lilikuwa la siri.kingine mtu anayemuunga mkono mange nahisi ana upungufu wa akili kama mange alivyo.
Na badoo....Mange njoo umfukunyuee na huyuu huenda ni walewale Bashite type
 
Kwahiyo huyu mdada yupo ndani ya system siyo? Mpaka anapata nyaraka za siri za kumhusu?
 
Ila mi naona anafanya poa tu maana wao wameamua kuendesha nchi kwenye giza. Na ndio maana hata bunge linafichwafichwa. Yaan nkiamka asubuh baada ya kumshukuru mungu kwa kuniamsha salama kinachofuata huwa naenda kwenye page ya huyu dada kuangalia tu yaliyojili then ratba zngne ndio zinafuata. Mi nadhan kuna mpango wa makusudi mungu kaupanga kupitia huyu mdada. Maana ana ujasiri ambao wanaume wa JF hata tuwe laki moja hatuwezi.
Binafsi nimeanza kuwa addict wa page ya huyu Dada. Lazima niipitie nipate ubuyu wa siku.
Sema tu lugha yake ya matusi sana. Ila kama ndio mambo ya ubuyu huyu dada atakuwa na PHD. Maana njia zake anazijua mwenyewe.
 
I like her, Mange ni mwanamke jasiri sana. Siku moja atakuwa kwenye historia ya nchi hii.
Huwa haogopi mtu, watanzania wote tungekuwa kama Mange haswa kwenye masuala ya democracy, Tanzania ingekuwa mbali sana.
 
Kukimbia bila break sio issue kabisa. Issue ni kukimbia bila brake.
Kuna dereva boda mmoja mtaani kwangu alinambia kuwa na breki katika boda yake ni uzembe, na mimi nikamsifia kuwa ni uzembe uliopitiliza kwani breki ya kazi gani? sasa nasubiria siku atakayoona umuhimu wa breki nitamwambia vingine.
 
Back
Top Bottom