Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Hili LA basbite naona kama limeanza kuboa hv,au kukinaisha,polepole litafutika,nadhani muda utamshindia hii vita.
 
Mkuu yani acha tu, sasa si unaona kama kaweza kupata mapicha yote hayo ya mali za Bashite na jinsi alivyohongwa na ushahidi wote kaanika.
Lkn bado anadunda kwenye ofisi za serikali yetu na anafaidi mshahara kupitia kodi zetu
 
Kitu kikubwa na cha muhimu kwa sasa ni wahusika kuchukua hatua kwa tuhuma zinazoendelea kwa muhisika unapotafuta pakutokea kwakutaka wadili na mtu ambae kaweka ushahidi hadharani ni udhaifu wa kiwango cha juu. Kabla ya kudili Mange walitakiwa kumsimamisha kazi mtuhumiwa ndipo waanze kuangalia siri zinavujia wapi. HUWEZI KUTOKA KAMA HUJUI ULIPO INGILIA
Mkuu mm sina tatizo kabisa na harakati za Mange ni nzuri hasa kwa watu wenye kudanganya kuwa rangi zao ni nyeupe kumbe ni rangi nyekundu

Tatizo langu ni kwa nini Classified information na documents za Serikali zinakuwa released to the public jambo ambalo ni hatari sana kwa maadui zetu kama zikija kutoka information hasa za National Security kwani Mange yeye ni mpenda sifa atayetaka jamii imjue kama na yeye anamtandao mkubwa wa kujua siri za GVMT so anaweza zitoa tu je madhara yake uoni ni makubwa kuliko heshima hyo mnayompa Mange sasa hv?
 
mbona hiyo doc haionekani kuwa ni ya siri. ni tangazo au taarifa kwenda vituo vyote vya uhamiaji, kwangu si tangazo la siri na wala halionyeshi kuwa lilikuwa la siri.kingine mtu anayemuunga mkono mange nahisi ana upungufu wa akili kama mange alivyo.
Hujielewi ww nyie ndio mnaorudisha hii nchi nyuma..yani unaboa
 
Hiii doc ndo mwanzo wa kuupata mtandao wa mange, watu wa conf registry ilipopita kote nawaonea huruma maana wapo wasohusika hil litawakumba...

Tatizo hio barua haiko moja. Zimetumwa vituo vingi (entry/exit points) vya uhamiaji. Kwahio huo msururu ni mrefu.

Na ndio maana amezuia baadhi ya taarifa haswa za huyo mpokeaji imezibwa na mihuri.

Wanajua wanachokifanya sio kama Bashite na mke wake wanapiga picha zinaonesha nba za gari na wanajua ni za moto wanaposti social media.

Kwa akili ndogo tu hata mimi picha zote za gari yangu mitandaoni namba haionekani. Privacy tu sasa sembuse RC mzima? Au ndo alikua anataka kutupiga bakora teh teh
 
Huyo dada ni kiboko aisee! Jambo moja linaloweza kuaminika kirahisi ni kwamba wanaompa taarifa hizo ni watu waliopo karibu na viongozi wa serikali.
 
Hajakana na hana sifa za kupata uraia wa Marekani kutokana na criminal records zake na alishawahi kuidanganya mahakama.Ni mtu asieaminika,anaishi kwa green card kwa kuwa tu ana watoto,wakifika 18,patachimbika.
Ikitokea mtalaka akachukua watoto,(jambo ambalo litatokea soon) Mange atakosa haki ya kuishi America.
Dua la kuku halimpati mwewe
 
Nyumba kubwa kunavuja kuna leakage mahali.... Muundo wetu wa habari za siri sio air tight mark tena! Kuna mianya

Mange amekuwa the first to know figure kwenye mambo mengi sana... Ni nani anampenyezea habari nyeti kabisa? Za watu binafsi na hata nyumba kuu? Au ni wale wanajeshi mashushushu waliokuja na Obama Kisha tukawakabidhi paa letu ili waangalie usalama?

Mange amekuwa snowden wa Tanzania.. Lakini sijui Kama kwa hali ilivyo atavumiliwa sana....namkumbuka Ben pekeyake na chatu
Leo kwa habari za chini ya zulia ilitoka hati ya kumkamata pengine huko aliko lakini akainyaka kabla haijamfikia rasmi... Kama kawaida yake kawafungukia mbaya

Namkumbuka Karegeya wa Rwanda na kilichompata hotelini South Africa peke yake chumbani
No, that girl is very smart,mm na hisi ni TISS yule au FBI
 
What I know everything I write again everything has a price in this f**cking world
 
Back
Top Bottom