Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

mbona hiyo doc haionekani kuwa ni ya siri. ni tangazo au taarifa kwenda vituo vyote vya uhamiaji, kwangu si tangazo la siri na wala halionyeshi kuwa lilikuwa la siri.kingine mtu anayemuunga mkono mange nahisi ana upungufu wa akili kama mange alivyo.
Kama ni kutufichulia ufisadi wa kumiliki magari yaso yake ya wauza madawa kisa walitishiwa khaa, acha nionekane nna upungufu mange ni kiboko ya Sizonje
 
Na yule mwanamke lazima keshaenda kuripoti,akiitumia barua ya jana kama official evidence.
Yule mwanamke ana akili kali sana. Ukiingia kwenye page yake ndio utajua ni active kiasi gani. Washamrahisishia kuzidi kumuweka US. Ujinga kitu kibaya sana. Unaandaa mtego wa kumnasa mtu, badala ya kutoa verbal directive, unaliandika libarua na saini kuuuuubwa.
 
Kufanikiwa kumdhuru au kumkamata ndani ya marekani ni vigumu sana. Watu wote wanaokimbilia marekani baada ya kuingia katika ugomvi na serikali zao hubaki salama mpaka marekani watakapoamua kuwasalimisha. Ninachoweza kumshauri kwa sasa huyu awaeleze serikali ya marekani uhusiano alionao na serikali ya Tanzania kwa kuwapa hata documents hizi ambazo zimesambazwa kumtafuta ili waweze kumfatilia kwa karibu
 
Tatizo wabongo hamjui sheria.

HUWEZI KUHUKUMIWA KWA KOSA ULILOTENDA NCHI INGINE. Mange akija Bongo hana kesi ya kujibu. Mpare kwa kesi kaisoma sheria. Labda wamshililie kama Lema.
Hatujui sheria!! Sawa wewe unajua sheria endelea kumshauri aendelee kutukana watu na kuwadharirisha (bullying) then utajua mbeleni sheria zinamlinda wapi..... Hao mashabiki wake sidhani kama ni watu wema bali wanamponza na kumpoteza. Wataalamu wanasema unapotumia kilevi kaa mbali na social media unaweza post kitu ambacho utajajutia baadaye
 

CDM pure? Uyu sindie aliekua anampigia kampeni Magufuli uko Instagram?
 
Nyie ndo wale makondoo mnaburuzwa tu na serikali anatokea shujaa wa kufunua uozo wa serikal mnawaza kumuua mange anafact na evidence sio kukurupuka kama humuelewi unamatatzo
Kama nawe unamsupport mshenzi anaetumia lugha ya kishenzi huku akijficha chini ya mwamvuli wa demokrasia kuwaletea watu ushenzi,basi nawe ni miongoni mwa washenzi.
 
Itakua hujui hata criteria za kua asylum seekee na pia kua granted refugee status marekani, marekani wana 5 grounds of persecution on account of race, ethnicity, political opinion, zingine 2 nimezisahau hizo grounds zinaweza kua real au imputed huyu pia serikali ya marekani imesideline mataifa amabayo yana security threats...somalia,mali, libya,syria na afghanistan....
 
Kabla ya yote je anachoongea kina ukweli ama hakina ukweli?

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
kina ukweli na kinachoma kumoyo
ni sawa na wewe umwambie mkeo usiku mkiwa kitandani kuziba mianya ya mtoto wenu kujishirikisha na ngono alafu kesho yake asubuhi mezani mtoto anaanza kuropoka hamniwezi starehe yangu na maneno kibao
 
Hivi hii ishu inahusisha homeland security ama Department of justice?,

na najua hatuna extradition treaty na hawa watu,sasa kazi ipo kwenye kuiridhisha departmeny of justice ikubali akamatwe huko na kuletwa huku,na tena ikionenekana ni mambo ya siasa na usalama wake utakuwa hatarini hawataruhusu.
 
Halafu mkumbuke Mange ni mzazi wa watoto watatu wote wamarekani,so akiweka na hii barua ya uhamiaji,asylum protection anaipata kiurahisi.
 
Ila hii habari itakuwa ni uvumi tu maana tulishazoea haya mambo kwa kauli za "wabaya wangu wananitafuta" na zingine "taarifa zao ninazo tayari"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…