Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Lakini kwanini huyu mange ana kiherehere cha kuibua maovu ya serikali?.

Au ana hasira alipokuja kuwakampenia wakati wa uchaguzi mkuu badala ya kumshukuru na kumpa japo udiwani wao walimrundika lokapu.?


Sijui hakujua kuwa maccm hayanaga shukrani,we wasaidie ila mda wowote wanakugeuka na kukuweka lokapu
 
Salama wana jamvi, nauliza ivi ni kweli akiyekuwa mtanzania anayeishi nchini marekani MAGE KIMAMBI ambaye kwa sasa ni mmarekani (baada ya kuukana uraia wa tanzania)

Anaweza kukamatwa na kufunguliwa mashtaka, ikumbukwe kwa sasa mwanamke uyo anashambulia sana viongozi anaaaona wanaenda kinyume na matakwa yake, na ikumbukwe pia ndio binti aliyeiteka istagram kwa kufatiliwa sana habari zake na watu wengi

Ebu tujuzane hapo, ikiwa mage kimambi si mtanzania je mkono wa dola wa tanzania unaweza mfikia na kuleta tanzania kwa mashtaka

Karibuni
 
unajua inawezekana ikawa sisi watz ndo tunampa kick uyu msukulee....yn tumemuekeq attention sana na ndomana anapata kichwaaa....watz tunapenda sn umbea na uyu kajua pakutukamatiaa......mm binafs namchukia sanana simpendiii....hana akili ni mtu fulani broked aliyechoka na maisha anaetafta pakutokea
Kunnywa sumu tu kama humpendi. Mimi nampenda sana anatusaidia kufichua maovu ya serikali hii.ona sasa tumejua bashite kumbe ni mla rushwa mkubwa tu. Kwanini hampendi maovu ya serikali yaanikwe hadharani?
Mimi mtu yeyote anayemchukia huyu Dada namuona kama adui wa taifa
 
Duh!

Yaani serikali nayo iwe inaendeshwa na matukio ya Instagram?

Aiseeee[emoji54]

Kwani Instagram inajiandika yenyewe, au watu ndo wanaandika?

Instagram
JamiiForums
Nipashe
TBC
You name them, Hizi zote ni tools tu ambazo kwazo watu wanaraise issues, sasa ni jukumu la mamlaka kuextract information, tetesi, clues na kuzifanyia kazi, Mengine anayorusha yule dada ni vigumu kuvideny !!
 
Haha serikal ina mkono mrefu ...
Okey ngoja tuuone huo mkono
And by the way hii ni thread ya tatu sjui ya nne inazungumzia the same thing tokea jana ...its not big issue
Kama mnafikiri mna deal na crook bas endeeeleen ndivo marekan walidhan kwa snowden ni just a small boy or just a hacker....but ona sasa hivi...ukijaribu kumsogelea means unaivamia urusi
You know what that means ...vita ya 3 ya dunia
Mbona unaongea vitu irrelevant mkuu Viroba si vimefungiwa?
 
Na ukizingatia tayari US inajua kuwa Tanzania imetunga sheria kandamizi ya kuzuia uhuru wa habari.
Mkuu kwani wanajua bas ...wana mihemko tu, wwnadhan unapanda basi ama meli ama ndege unashuka marekani pale airport unasema nimekuja kumkamata fulan unaruhusiwa unaenda unamshika u drag her to the airport unarud ..huku vikos vya usalama vya marekan pale airport wanakuangalia tu..
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
unajua inawezekana ikawa sisi watz ndo tunampa kick uyu msukulee....yn tumemuekeq attention sana na ndomana anapata kichwaaa....watz tunapenda sn umbea na uyu kajua pakutukamatiaa......mm binafs namchukia sanana simpendiii....hana akili ni mtu fulani broked aliyechoka na maisha anaetafta pakutokea
Mimi binafsi nampenda mtu yeyote, maana maandiko yanatufundsha kumpenda kila mtu. Kwa hiyo Wakina Mange, Bashite au makonda pamoja Baba lao Sionje wote nawapenda.
 
Mbona unaongea vitu irrelevant mkuu Viroba si vimefungiwa?
Huna hoja ya msingi ndo mana jambo la kwanza lililokuja akilin mwako ni viroba
umeshindwa kujibu hoja na ku reason out point za msingi ama kukataaa nilichoandika kwa hoja za msingi zenye ufafanuzi wa hali ya juu unaishia kutoa hoja ya kiroba. Bora nihamie thread nyingine zenye mleta mada great thinker ..hapa naona nimekosea njia.
 
Kwa kumtisha huku, kunadhibitisha kuwa serikali imetetereka. Kwanini hawakanushi au kudhibitisha haya anayosema Mange?? Kwanini walikanusha faster tetesi za kujiuzuru kwa VP? Why hizi wapo kimya
 
Kumbe kelele zote hizi siku zote hizi bashite ni mwanamke? Yaani nilikua nashabikia kitu sikijui
Ha ha kwani Matamko ya uhakiki tz si yanatolewq na wanawake kama Angela Kairuki je napo vibaya[emoji16][emoji16][emoji23]
 
Back
Top Bottom