Yuko mikono salamaNahofia sana usalama wa mange na sijui yeye kama anahofia usalama wake
Siyo rahisi Kama ufikiriapoKumkamata mange nidakika sifuri tu sema serikali haijamua kufanya hivo
kipenzi unatumia mtandao wa instagram?Naombeni msaada hivi huyu mtu ni nani haswa why is she vry popular like this, what is so special to this person? Coz nimebaki kumsikia tu pasipo Kuelewa anafnya kazi gan na imekuwaje kwnye hii ishu ya makonda character msaidizi. Nisaidien jamn
Hahahaaa, yote yanawezekana lakini kuna mambo matatu itabidi tuyazingatie:hivi unauhakika na marekani kumshindwa huyu dogo? vipi kama ukiambiwa huu ni mchezo tu marekani amecheza kwa kumtuma huyu dogo Snowden huko Russia
Nyumba kubwa kunavuja kuna leakage mahali.... Muundo wetu wa habari za siri sio air tight mark tena! Kuna mianya
Mange amekuwa the first to know figure kwenye mambo mengi sana... Ni nani anampenyezea habari nyeti kabisa? Za watu binafsi na hata nyumba kuu? Au ni wale wanajeshi mashushushu waliokuja na Obama Kisha tukawakabidhi paa letu ili waangalie usalama?
Mange amekuwa snowden wa Tanzania.. Lakini sijui Kama kwa hali ilivyo atavumiliwa sana....namkumbuka Ben pekeyake na chatu
Leo kwa habari za chini ya zulia ilitoka hati ya kumkamata pengine huko aliko lakini akainyaka kabla haijamfikia rasmi... Kama kawaida yake kawafungukia mbaya
Namkumbuka Karegeya wa Rwanda na kilichompata hotelini South Africa peke yake chumbani
Sawa nimekubali ila na wewe ukubali kwa Duterte kuwa umeshindwa.Ni mmarekani,alizaliwa marekani.
Chatu ana majibu mubasharaBen yupi alikua peke yake na chatu? Alisalimika kwa huyo chatu au ndo ntolee?
oooh.hapo ben peke yake na chatu sijapaelewa .niondoe ubashiii....tafadhali.Nyumba kubwa kunavuja kuna leakage mahali.... Muundo wetu wa habari za siri sio air tight mark tena! Kuna mianya
Mange amekuwa the first to know figure kwenye mambo mengi sana... Ni nani anampenyezea habari nyeti kabisa? Za watu binafsi na hata nyumba kuu? Au ni wale wanajeshi mashushushu waliokuja na Obama Kisha tukawakabidhi paa letu ili waangalie usalama?
Mange amekuwa snowden wa Tanzania.. Lakini sijui Kama kwa hali ilivyo atavumiliwa sana....namkumbuka Ben pekeyake na chatu
Leo kwa habari za chini ya zulia ilitoka hati ya kumkamata pengine huko aliko lakini akainyaka kabla haijamfikia rasmi... Kama kawaida yake kawafungukia mbaya
Namkumbuka Karegeya wa Rwanda na kilichompata hotelini South Africa peke yake chumbani
Inawezekana hata sasa bado hujui mkuu, usiridhike endelea kutafuta huo ukweli hadi ujueKumbe kelele zote hizi siku zote hizi bashite ni mwanamke? Yaani nilikua nashabikia kitu sikijui
[emoji15] [emoji15] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125]oooh.hapo ben peke yake na chatu sijapaelewa .niondoe ubashiii....tafadhali.
Kulidaka gaidi la kisomali? Mumemshindwa Bashite na yuko hapa town utaliweza gaidiKuna mtu alikuwa anaitwa ZE UTAMU.Alikuwa zaidi ya Mange.Yeye ni kuchora watu na ku edit picha za matusi na kuweka za watu.Alitesa sana watu,lakini aliingia choo cha kike pale alipomtoa JK akiwa uchi.Alidakwa huko huko Marekani na mpaka leo kimya.
Mange ajue tu kuwa watoto wake wanamuhitaji yeye kuliko hao wanaomlipa.
Serikali ina njia nyingi sana za kumpata Mange kutoka serikali ya Kimarekani.
Ni kulidaka tu gaidi la kisomali ambayo yanazagaa kati ya kenya na Tanzania,wamarekani watamtamani,ndio hapo wataambiwa na sie tuleteeni yuleee!
Mkuu naona unahamisha magoli kwa makusudi tu.Marekani kila muda wanatuletea list ya watuhumiwa amabao inahisi wamejificha humu au wanaingia na kutoka,ili tuwasaidie kuwakamata.Kwa taarifa yako wanadakwa wengi sana ila haitangazwi kwa kuwa haituhusu.Sasa kuanzia sasa akidakwa US suspect,tutabadilishana na Mange.Marekani huwa hawajiulizi mara mbili ikiwa kuna gaidi wanamtaka.kama wanakuwa tayari kuweka mezani dola milioni 5 itakuwa kumtoa Mange?Kulidaka gaidi la kisomali? Mumemshindwa Bashite na yuko hapa town utaliweza gaidi
Look at your username
anatetea haki zipi za binadamu?unazijua haki za binadamu wewe?Kaongee na wajinga wenzio! Mange hayuko kwenye hiyo category acha unyumbu!! Mtetezi wa haki za binadamu na demokrasia anakuwaje kwenye kundi hilo? Nyumbu wewe