Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Naombeni msaada hivi huyu mtu ni nani haswa why is she vry popular like this, what is so special to this person? Coz nimebaki kumsikia tu pasipo Kuelewa anafnya kazi gan na imekuwaje kwnye hii ishu ya makonda character msaidizi. Nisaidien jamn
kipenzi unatumia mtandao wa instagram?
kama ndio basi nenda sasa hivi search jina mangekimambi_
utayoyaona huko nadhani yatakupa jibu na wengine hapa watamalizia
 
hivi unauhakika na marekani kumshindwa huyu dogo? vipi kama ukiambiwa huu ni mchezo tu marekani amecheza kwa kumtuma huyu dogo Snowden huko Russia
Hahahaaa, yote yanawezekana lakini kuna mambo matatu itabidi tuyazingatie:

1. Kuibuka kwa Snowden kuliendana na kuvujishwa kwa siri nyingi sana za mahusiano ya US na mataifa mengine kiasi cha kuleta sintofahamu za hapa na pale kati ya US na washirika wake.

2. Russia in particular Putin hawawezi kuwa wajinga wa kumfanya Snowden ajue siri zozote za Russia, kubwa atakuwa na maisha kama ya wataka hifadhi wengine tu duniani.

3. Si rahisi sana kumkamata mtu "aliyejisalimisha". Unless uwe na majasusi hodari umvizie umuue kama PK alivyofanya kule South Africa. Kinachofanyika ni kwa nchi kuthibitisha makosa yake kisha taifa husika litakuletea tu bika shida. Sasa kasheshe ipo kwenye kuthibitisha. Na kwa kesi ya Kimambi ndio kabisa kwasababu yeye si muajiriwa wa Serikali hivyo "kitaalam" hawezi kuwa na siri za serikali sasa ataanzaje kuvujisha siri za serikali?
 
Nyumba kubwa kunavuja kuna leakage mahali.... Muundo wetu wa habari za siri sio air tight mark tena! Kuna mianya

Mange amekuwa the first to know figure kwenye mambo mengi sana... Ni nani anampenyezea habari nyeti kabisa? Za watu binafsi na hata nyumba kuu? Au ni wale wanajeshi mashushushu waliokuja na Obama Kisha tukawakabidhi paa letu ili waangalie usalama?

Mange amekuwa snowden wa Tanzania.. Lakini sijui Kama kwa hali ilivyo atavumiliwa sana....namkumbuka Ben pekeyake na chatu
Leo kwa habari za chini ya zulia ilitoka hati ya kumkamata pengine huko aliko lakini akainyaka kabla haijamfikia rasmi... Kama kawaida yake kawafungukia mbaya

Namkumbuka Karegeya wa Rwanda na kilichompata hotelini South Africa peke yake chumbani

Ben yupi alikua peke yake na chatu? Alisalimika kwa huyo chatu au ndo ntolee?
 
Lakn jaman lazma tuwe wekwel serkal na jesh la polis kila siku wnaomba watu watoe taarfa ya wahalifu,sasa mange katoa pamoja na ushahid imekua nongwa au huwa wnataka taarfa ya wasio na madaraka au vyeo?
 
Nyumba kubwa kunavuja kuna leakage mahali.... Muundo wetu wa habari za siri sio air tight mark tena! Kuna mianya

Mange amekuwa the first to know figure kwenye mambo mengi sana... Ni nani anampenyezea habari nyeti kabisa? Za watu binafsi na hata nyumba kuu? Au ni wale wanajeshi mashushushu waliokuja na Obama Kisha tukawakabidhi paa letu ili waangalie usalama?

Mange amekuwa snowden wa Tanzania.. Lakini sijui Kama kwa hali ilivyo atavumiliwa sana....namkumbuka Ben pekeyake na chatu
Leo kwa habari za chini ya zulia ilitoka hati ya kumkamata pengine huko aliko lakini akainyaka kabla haijamfikia rasmi... Kama kawaida yake kawafungukia mbaya

Namkumbuka Karegeya wa Rwanda na kilichompata hotelini South Africa peke yake chumbani
oooh.hapo ben peke yake na chatu sijapaelewa .niondoe ubashiii....tafadhali.
 
Kumbe kelele zote hizi siku zote hizi bashite ni mwanamke? Yaani nilikua nashabikia kitu sikijui
Inawezekana hata sasa bado hujui mkuu, usiridhike endelea kutafuta huo ukweli hadi ujue
 
Kuna mtu alikuwa anaitwa ZE UTAMU.Alikuwa zaidi ya Mange.Yeye ni kuchora watu na ku edit picha za matusi na kuweka za watu.Alitesa sana watu,lakini aliingia choo cha kike pale alipomtoa JK akiwa uchi.Alidakwa huko huko Marekani na mpaka leo kimya.
Mange ajue tu kuwa watoto wake wanamuhitaji yeye kuliko hao wanaomlipa.
Serikali ina njia nyingi sana za kumpata Mange kutoka serikali ya Kimarekani.
Ni kulidaka tu gaidi la kisomali ambayo yanazagaa kati ya kenya na Tanzania,wamarekani watamtamani,ndio hapo wataambiwa na sie tuleteeni yuleee!
 
Kulidaka gaidi la kisomali? Mumemshindwa Bashite na yuko hapa town utaliweza gaidi
 
Kulidaka gaidi la kisomali? Mumemshindwa Bashite na yuko hapa town utaliweza gaidi
Mkuu naona unahamisha magoli kwa makusudi tu.Marekani kila muda wanatuletea list ya watuhumiwa amabao inahisi wamejificha humu au wanaingia na kutoka,ili tuwasaidie kuwakamata.Kwa taarifa yako wanadakwa wengi sana ila haitangazwi kwa kuwa haituhusu.Sasa kuanzia sasa akidakwa US suspect,tutabadilishana na Mange.Marekani huwa hawajiulizi mara mbili ikiwa kuna gaidi wanamtaka.kama wanakuwa tayari kuweka mezani dola milioni 5 itakuwa kumtoa Mange?
Nitakupa mfano.Wakati wa Sept 11,Bush alitaka kuitumia anga la Pakistan kuishambulia Afghanistani.
Musharraf akawaambia wamarekani,rudisheni msaada wa dola milioni 500 mliotukatia baada ya jeshi kutwaa madarakani.Siku hiyo hiyo hela ilitoka na wamarekani waliweza kutumia anga la Pakistani.
Dada Mange asijidanganye,akitakiwa haswa ni kazi ndogo tu,halafu akifika airport ananyang'anywa pasi anaambiwa akaendelee na maisha mtaani hakuna kwenda polisi wala wapi
 
Kwenye ukurasa wake amesema atakuja tz siku wapinzani wakishika dora
 
Kaongee na wajinga wenzio! Mange hayuko kwenye hiyo category acha unyumbu!! Mtetezi wa haki za binadamu na demokrasia anakuwaje kwenye kundi hilo? Nyumbu wewe
anatetea haki zipi za binadamu?unazijua haki za binadamu wewe?
 
Back
Top Bottom