Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

unajua inawezekana ikawa sisi watz ndo tunampa kick uyu msukulee....yn tumemuekeq attention sana na ndomana anapata kichwaaa....watz tunapenda sn umbea na uyu kajua pakutukamatiaa......mm binafs namchukia sanana simpendiii....hana akili ni mtu fulani broked aliyechoka na maisha anaetafta pakutokea
Angalau mwenzako ataacha legacy kuliko wewe hata humu JF ni mzigo
 
Kumbe huo nao ulikuwa ni uzushi tu.

Lakini tutabishaje wakati alishatuambia....

Hivi unatumia makalio kuchambua mambo? Hilo ni bango la kukanusha habari zilizokua zinaenea kwenye social media. Kwanini hizi habari nyingine zisikanushwe kama hiyo?
 
Watu kama hawa US inawaprotect sana.

Hakuna nchi inayopenda Siri zake zidukuliwe na kuchezewa hovyo brother, US yenyewe is hunting its own citizen Edward Snowden...na sasa yuko mafichoni Russia....kwenye huo ulimwengu wa intelligence lugha ni moja....huyo mama is better ashauriwe alee vitoto vyake kama anataka kuwaona wanakuwa na wanapata what they deserve....every government has secrets and have to be protected at any costs...
 
Mkuu usiwe msahaulifu, mwalimu msigwa serikali ilipata taarifa kupitia mitandao ya kijamii, wale madereva waliokuwa wanaendesha gari akaachia usukani amehukumiwa miaka miwili lakini Ni mitandao ya kijamii ndiyo uliyotoa taarifa sasa kwenye hili ugumu uko wapi? Tena mtu anatuma mpaka document za serikali polisi wanashindwa nini kujiridhisha?
Kuna watu ubishi ndo fani zao
 
Hakuna nchi inayopenda Siri zake zidukuliwe na kuchezewa hovyo brother, US yenyewe is hunting its own citizen Edward Snowden...na sasa yuko mafichoni Russia....kwenye huo ulimwengu wa intelligence lugha ni moja....huyo mama is better ashauriwe alee vitoto vyake kama anataka kuwaona wanakuwa na wanapata what they deserve....every government has secrets and have to be protected at any costs...
Umeongea pumba sana. Sasa kama Marekani taifa namba moja kwa ubabe na uchumi duniani wameshindwa kumpata Snowden, taifa masikini la Tanganyika litaewezaje kumpata kumkamata mange aliye marekani? Halafu hii dhana ya kuogopa kufa ndiyo inafanya watu wawe mapoyoyo wa akili zao. Kwani kuna mwenye ahadi na mungu kuwa atamuweka duniani hadi akamilishe kuwalea watoto wake?
 
hivi unauhakika na marekani kumshindwa huyu dogo? vipi kama ukiambiwa huu ni mchezo tu marekani amecheza kwa kumtuma huyu dogo Snowden huko Russia
 
Upo sahihi,siku ya kukamatwa atajuta!
Atajuta nini sasa?wewe kama ni mwoga ni wewe,Mange anafanya anachokifanya na anajuwa effects zake,yule ni unique hana caracter za kioga kama sisi tunaotumia fake names hapa.
 
Mange kaumiza maisha ya watu wengi sana, kachonganisha mahusiano ya watu, ni mtu wa 'kwanini', ana wivu sana anapoona mwanamke mwenzie anatusua.

Ni kundi la watu aina ya 'psychopath' - yani mtu mwenye chuki sana na watu, hana huruma na yupo tayari kuona damu ya mwenzie ikimwagika ndio furaha ije usoni mwake.

Japo kwa upande mwingine anaraise issues ambazo zinatuhusu , hasa uovu wa watawala wetu, lkn katika suala la maisha ya watu binafsi anakosea sana.

Watu wengine hawanaga maneno, hawataki visasi, utawaharibia lkn karma haitakuacha ukatize salama.
Tupe ushahidi hao watu waliharibiwa maisha na yeye! Tunaenda na fact.
 
mange anaweza kuja Tz kama raia wa marekani na si km Mtanzania,maana kuna ndugu zake na wakimkamata inabidi wamshtk kwa sheria za USA,lkn pia labda wamuue wasimshtki mahakmn maana wakimshtk wakili wake atakuwa T Lissu ,Kibatala na Malya unadhani nn kutatokea!
 
Kama zeutamu ilipigwa ban kuonekana tz, kwanini insta yake haipigwi ban?
 
Mange kaumiza maisha ya watu wengi sana, kachonganisha mahusiano ya watu, ni mtu wa 'kwanini', ana wivu sana anapoona mwanamke mwenzie anatusua.

Ni kundi la watu aina ya 'psychopath' - yani mtu mwenye chuki sana na watu, hana huruma na yupo tayari kuona damu ya mwenzie ikimwagika ndio furaha ije usoni mwake.

Japo kwa upande mwingine anaraise issues ambazo zinatuhusu , hasa uovu wa watawala wetu, lkn katika suala la maisha ya watu binafsi anakosea sana.

Watu wengine hawanaga maneno, hawataki visasi, utawaharibia lkn karma haitakuacha ukatize salama.
Naombeni msaada hivi huyu mtu ni nani haswa why is she vry popular like this, what is so special to this person? Coz nimebaki kumsikia tu pasipo Kuelewa anafnya kazi gan na imekuwaje kwnye hii ishu ya makonda character msaidizi. Nisaidien jamn
 
Kitu pekee anachokosea Mange ni kuweka matusi ya nguoni kwenye tafiti zake. Tofauti na hapo she is a hero woman.

Mimi naishauri serikali isitumie nguvu kubwa sana kumtafuta Kwani Mange kwa sasa anaijua Serikali ya JPM kuliko wanavyofikiria.
 
Back
Top Bottom