Polisi wadaiwa kupokea amri ya kumpeleka mahakamani Msanii Optter

Baadhi ya Askari wanadai, kuna shinikizo kutoka kwa wavaa viatu wakitaka kujua msanii ametumwa na nani kuchora picha inayowasumbua wakubwa.
Ndio kina nani hao?
 
"Ametumwa na nani kuchora picha inayowasumbua wakubwa"[emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]aisee hii nchi...

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Wekeni hiyo picha hapa jamvini

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Siro anatafuta ubalozi maana jua limechwea
 
Nchi isiyofuata misingi ya Katiba na Sheria ni nchi ya hovyo tu kama ilivyo Kosova, tariban ama somalia.

Ilikiwa kosa kubwa kwa Mwalimu kutuachia katiba ya mwaka 1977 kwa kweli.

Kwa mfano Leo ntamshanga sana maza kama hataongoza taifa hili hadi 2035, maana katiba inampa mamlaka yote kwa 100%.

Yàni ni hivi ukishaapishwa tu kwa katiba hii you can do all you want..labda roho wa Mungu akutembelee .
 
Picha gani??
 
Bila kuweka hiyo picha hapa basi na mimi siendelei kuchangia
 
Huyu jamaa akiwa mtaani atupe akaunt yake tumwingizie kidogo Mana ile katuni simchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…