olele
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 1,305
- 1,572
usimtukane mjibu kwa hoja.Acha uchama mpuuzi wewe. Saa nyingine akili iwe inakurudi. Unaambiwa marehemu aliwatishia askari hao na shoka wewe ulitaka askari wafanyeje? Au wao ndiyo wenye haki ya kuuawa? Akili kisoda mjinga wewe.
polisi sita na mtu mmoja mwenye shoka. vipi angekua na silaha ya moto.
polisi wetu hawana weledi, lazima tulikubali hilo. kulikua na ulazima gani wa kumuua