Nenda BBCTuma video
Acha unafiki wamekwambia wanahitaji huruma yako?Nawaonea huruma hao waliokamatwa. Sijui Mange na Maria watawasaidiaje
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nawaonea huruma hao waliokamatwa. Sijui Mange na Maria watawasaidiaje
Wapi nimesema niwape huruma yanguAcha unafiki wamekwambia wanahitaji huruma yako?
Maandamano gani sasa hayo ya kuwapiga mawe Watanzania wenzako.kuyarushia mawe magari yaliyokuwa yakipita eneo hilo.
Una uhakika wamedhibiti?Jeshi la Polisi Kanda maalumu ya Dar es Salaam, limedhibiti vurugu zilizokuwa zinafanywa na baadhi ya watu katika eneo la Ubungo Kibo kuanzia saa 4:00 asubuhi hii ya Oktoba 29, 2025.
Watu hao walianza kufunga Barabara ya Morogoro kwa kupanga mawe na kuyarushia mawe magari yaliyokuwa yakipita eneo hilo.
Mwananchi imeshuhudia watu kadhaa wakikamatwa na polisi waliofika eneo la tukio kwa lengo la kuwatawanya watu hao.
Hadi saa 4:35 asubuhi hakuna aliyekuwa akivuka kwenda upande mwingine, polisi walikuwa wametanda na kupiga mabomu ya machozi.
Endelea kufuatilia mitandao yetu ya kijamii kwa habari zaidi.
Mkuu mmempotosha Hangaya. Mdharau mwiba mguu huota tende. Kwa heri Tanz karibu Tanganyika.Nenda barabarani acha taarabu mtandaoni Nyumbu we
Harafu siku ukiumwa ukaenda hosptal usilalamjke kodi zikipanda hovyo usilalamike maana jukumu la kudai haki naona km umewaachia wengineNawaonea huruma hao waliokamatwa. Sijui Mange na Maria watawasaidiaje