Polisi waepuke wanasiasa, ipo siku jopo la Kibatala mtalihitaji liwatetee

Polisi waepuke wanasiasa, ipo siku jopo la Kibatala mtalihitaji liwatetee

Tardy

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
1,285
Reaction score
1,611
Nyie ni ndugu zetu tunaoishi nanyi,waepukeni wanasiasa kuwatumia bila PGO, wanawatumikisha kuwaumiza wengine halafu ninyi mnabaki na uadui na jamii huku wao wamepatana.

Ushauri wangu mkiona mnatumikishwa kisiasa kwa maslahi yao acheni kazi kwa amani. Mfano mzuri kuna askari wawili walikuwa upelelezi sehemu lakini walikuwa wakiisimamia PGO kikwelikweli, ikawa inaleta uadui.

Waliacha kazi na sasa niwajasiliamali wazuri.
 
Kwani Kingai mwenyewe anasemaje, Pale walipoamua kwamba elimu yao ni wale waliofeli Fom foo tu wanatosha ndipo walipoharibu, ndiomaana wakiona mtu ana maendeleo kidogo wanajiskia vibaya kweli kweli as if yeye ndio aliwafanya wawe hohehahe, yaani hata kama wanachukua vijirushwa lakini wamechoka sana
 
Polisi wengi wa Tanzania ni majambazi yaliyovaa uniform japo wema wapo pia lakini walio wengi ni majizi manyang'anyi na maporaji ukitaka ujue kutana nao usiku wakiwa kwenye doria.
 
Kweli kabsaa mkuu wasijisahau sana na kujiona miungu watu kuna siku wataacha hizo bunduki warudi kwenye manati.
 
Kwani Kingai mwenyewe anasemaje, Pale walipoamua kwamba elimu yao ni wale waliofeli Fom foo tu wanatosha ndipo walipoharibu, ndiomaana wakiona mtu ana maendeleo kidogo wanajiskia vibaya kweli kweli as if yeye ndio aliwafanya wawe hohehahe, yaani hata kama wanachukua vijirushwa lakini wamechoka sana
mtu yeyote anayeandika au kufikiri kwa namna hii ni mpuuzi wa kusikitikiwa kuliko hao polisi tunao walaumu kila siku.

hujawahi kukutana na polisi wenye elimu zaidi ya hiyo ya form four failure??

hujawahi kukutana na polisi walio na maisha mazuri kukuzidi??

ujinga na upumbavu ni kuhususiha kila kitu na elimu au uchumi.
 
First off, motherfeck them police. Hawa watu ni bullies, kondoo, scams, you name it.

Hasira zimepungua sasa. Hao jamaa bosi wao anateuliwa na mwanasiasa, so sioni wanaachaje kutumika bila kubadili Katiba.
 
Polisi wengi wa Tanzania ni majambazi yaliyovaa uniform japo wema wapo pia lakini walio wengi ni majizi manyang'anyi na maporaji ukitaka ujue kutana nao usiku wakiwa kwenye doria.
Tupe uziefu was kukutana nao🤔
 
Polisi hasa wa vyeo vya chini ni wa kuwahurumia tu
 
mtu yeyote anayeandika au kufikiri kwa namna hii ni mpuuzi wa kusikitikiwa kuliko hao polisi tunao walaumu kila siku.

hujawahi kukutana na polisi wenye elimu zaidi ya hiyo ya form four failure??

hujawahi kukutana na polisi walio na maisha mazuri kukuzidi??

ujinga na upumbavu ni kuhususiha kila kitu na elimu au uchumi.
mimi hata huyo Kingai na Zirro wao nina maisha mazuri kuliko wao japo nabeba boksi, nakula bata na natuma mpunga kwetu maendeleo yanafanyika watoto wanasoma shule nzuri mxiuuuuuu kama wewe choka mbaya sio wote
 
mpumbavu kweli wewe,yaani kutuma vilaki laki ndio unadhani umewazidi maisha??ndio maana hata huwa wanajibu shombo sababu wanajua akili zote mmeacha ulaya huko.

haya mpaka umekuwa mmbeba box ilihitaji elimu kiasi gani??
 
mtu yeyote anayeandika au kufikiri kwa namna hii ni mpuuzi wa kusikitikiwa kuliko hao polisi tunao walaumu kila siku.

hujawahi kukutana na polisi wenye elimu zaidi ya hiyo ya form four failure??

hujawahi kukutana na polisi walio na maisha mazuri kukuzidi??

ujinga na upumbavu ni kuhususiha kila kitu na elimu au uchumi.
Tuambie kati ya polisi 100 ni wangapi wana elimu ya juu? Waziri mwenyewe mwenye dhamana anakuambia wanaohutajita ni form four za chini kabisa... So hapa mleta mada amezungumzia majority, na ndiyo maana ni ngumu sana kuliendesha hili jeshi kisomi na kwa kisasa.

Umewahi kujiuliza ni kwa nini vituo vya polisi walau vya Wilaya havitumii TEHAMA? Hivi haliwezekani kuwa na computers na internets kwa ajili ya kuingiza records za wahalifu, picha, finger prints etc haiwekani kuwa na database ya wahalifu kweli?
 
Tuambie kati ya polisi 100 ni wangapi wana elimu ya juu? Waziri mwenyewe mwenye dhamana anakuambia wanaohutajita ni form four za chini kabisa... So hapa mleta mada amezungumzia majority, na ndiyo maana ni ngumu sana kuliendesha hili jeshi kisomi na kwa kisasa. Umewahi kujiuliza ni kwa nini vituo vya polisi walau vya Wilaya havitumii TEHAMA? Hivi haliwezekani kuwa na computers na internets kwa ajili ya kuingiza records za wahalifu, picha, finger prints etc haiwekani kuwa na database ya wahalifu kweli?

sample yako ielekeze katika kundi la watz 10 wapi wana elimu ya juu,ili uwe na hoja zenye nguvu katika tafiti zako,vinginevyo hoja yako inakuwa ni jungu.

jeshi lolote tz liko katika mfumo wa pyramid,na ndio kanuni za kijeshi toka mfumo wake uasisiwe na muasisi wake.

kuliendesha jeshi kisomi unamaanisha nini??kukamata mtu na kufanya doria makazi ya watu kunahitaji at least elimu kiwango kipi??au elimu ya kipolisi toka ccp moshi??

swala la kituo kutotumia TEHAMA kwa viwango vyake ni swala la kiserikali zaidi,TEHAMA haipo hata mashuleni kwemye misingi ya elimu.
swala la database bado halihusinai na elimu ndogo za polisi pia,ni serikali yenu masikini ambayo ina uwezo dhaifu hata katika vipaumbele muhimu.
 
Mfumo wa katiba ya sasa ni ngumu Sana police kuwa huru. Kama mwanasiasa ndie mkuu wa kamati ya ulinzi unategemea nn.

USA, Malawi huwezi kuta police anatii maagizo ya mwanasiasa. Wao uangalia kosa kwa mujibu wa sheria za nchi na sio maagizo ya mwanasiasa.
 
Kama IGP anateuliwa na mwanasiasa kwa interest za kisiasa, ni ngumu kuwatenga police na siasa.
 
Ma-koplo sugu nimeona komenti zao zote hapo juu zinatetea vibaka wenzao.M^d^£^c^∆!
 
Back
Top Bottom