mtu yeyote anayeandika au kufikiri kwa namna hii ni mpuuzi wa kusikitikiwa kuliko hao polisi tunao walaumu kila siku.Kwani Kingai mwenyewe anasemaje, Pale walipoamua kwamba elimu yao ni wale waliofeli Fom foo tu wanatosha ndipo walipoharibu, ndiomaana wakiona mtu ana maendeleo kidogo wanajiskia vibaya kweli kweli as if yeye ndio aliwafanya wawe hohehahe, yaani hata kama wanachukua vijirushwa lakini wamechoka sana
Tupe uziefu was kukutana nao🤔Polisi wengi wa Tanzania ni majambazi yaliyovaa uniform japo wema wapo pia lakini walio wengi ni majizi manyang'anyi na maporaji ukitaka ujue kutana nao usiku wakiwa kwenye doria.
mimi hata huyo Kingai na Zirro wao nina maisha mazuri kuliko wao japo nabeba boksi, nakula bata na natuma mpunga kwetu maendeleo yanafanyika watoto wanasoma shule nzuri mxiuuuuuu kama wewe choka mbaya sio wotemtu yeyote anayeandika au kufikiri kwa namna hii ni mpuuzi wa kusikitikiwa kuliko hao polisi tunao walaumu kila siku.
hujawahi kukutana na polisi wenye elimu zaidi ya hiyo ya form four failure??
hujawahi kukutana na polisi walio na maisha mazuri kukuzidi??
ujinga na upumbavu ni kuhususiha kila kitu na elimu au uchumi.
mpumbavu kweli wewe,yaani kutuma vilaki laki ndio unadhani umewazidi maisha??ndio maana hata huwa wanajibu shombo sababu wanajua akili zote mmeacha ulaya huko.mimi hata huyo Kingai na Zirro wao nina maisha mazuri kuliko wao japo nabeba boksi, nakula bata na natuma mpunga kwetu maendeleo yanafanyika watoto wanasoma shule nzuri mxiuuuuuu kama wewe choka mbaya sio wote
Tuambie kati ya polisi 100 ni wangapi wana elimu ya juu? Waziri mwenyewe mwenye dhamana anakuambia wanaohutajita ni form four za chini kabisa... So hapa mleta mada amezungumzia majority, na ndiyo maana ni ngumu sana kuliendesha hili jeshi kisomi na kwa kisasa.mtu yeyote anayeandika au kufikiri kwa namna hii ni mpuuzi wa kusikitikiwa kuliko hao polisi tunao walaumu kila siku.
hujawahi kukutana na polisi wenye elimu zaidi ya hiyo ya form four failure??
hujawahi kukutana na polisi walio na maisha mazuri kukuzidi??
ujinga na upumbavu ni kuhususiha kila kitu na elimu au uchumi.
Tuambie kati ya polisi 100 ni wangapi wana elimu ya juu? Waziri mwenyewe mwenye dhamana anakuambia wanaohutajita ni form four za chini kabisa... So hapa mleta mada amezungumzia majority, na ndiyo maana ni ngumu sana kuliendesha hili jeshi kisomi na kwa kisasa. Umewahi kujiuliza ni kwa nini vituo vya polisi walau vya Wilaya havitumii TEHAMA? Hivi haliwezekani kuwa na computers na internets kwa ajili ya kuingiza records za wahalifu, picha, finger prints etc haiwekani kuwa na database ya wahalifu kweli?