Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Kwa mujibu wa rpc wa kipindi hichoJuu ya wapi ikakata kona juu kuna kona?
Kama aliyekuwa anatafutwa Si Alphonce Lusako kwanini mmeondoka na gari lake?View attachment 3169735Taarifa iliyo upande wa kushoto inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Jeshi la Polisi lingependa kuitolea ufafanuzi ili isiendelee kuleta taharuki ambayo si ya lazima.
TAARIFA KWA UMMA
Ni kweli Askari Polisi walifika eneo hilo kumkamata mtuhumiwa anayejulikana kwa jina la Emmanuel Mweta, ambaye awali alikamatwa na baada ya kudhaminiwa aliruka dhamana kwa muda mrefu.
Leo Desemba 5,2024, Mlalamikaji alitoa taarifa Polisi kuwa, amemuona mtuhumiwa huyo, ikabidi askari wawahi haraka kumkamata.
Tunaendelea na uchunguzi kubaini ni nini kilichomfanya anayetajwa kwa jina la Alphonce Lusako kukimbia kisha kujirekodi video voice na kuirusha kwenye mitandao wakati siyo yeye aliyekuwa anatafutwa na Askari waliofika pale walijitambulisha kwake na kumweleza wamefika pale kwa nia ya kumtafuta Emmanuel Mweta.
Imetolewa na:
David A. Misime - DCP
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania
Pia soma ~ Makumbusho: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za "Reachout Tanzania", wakidai kumtafuta Wakili Lusako Alphonce
Hao JamaaHawakosi cha kusema hao watu.
Magufuli alisema watanzania wa leo siyo wapumbavu kama wale wa zamaniNi kweli Askari Polisi walifika eneo hilo kumkamata mtuhumiwa anayejulikana kwa jina la Emmanuel Mweta, ambaye awali alikamatwa na baada ya kudhaminiwa aliruka dhamana kwa muda mrefu.
Leo Desemba 5,2024, Mlalamikaji alitoa taarifa Polisi kuwa, amemuona mtuhumiwa huyo, ikabidi askari wawahi haraka kumkamata.
CHAWA kama CHAWA umesemaHuyu Lusako atakuwa anamatatizo ya akili siyo mara yake ya kwanza kuleta taharuki.
Na iwe hivyo.Hapa ndipo nawahurumia polisi maana itafika mahali wakiingia hata baa kwa nia njema watu wanaweza wakatoka nduki.Kwa hofu ambayo imeshajengwa kwenye jamii.Hebu washauri wa nchi hii washauri watu kabla mambo hayajaharibika zaidi.
We mbusi unachamba vizee kama mtumwa huko copen ndio unajiona mjanja siio?Nyie wote mnaoishi Tanzania ni watumwa.
https://www.facebook.com/View attachment 3169735Taarifa iliyo upande wa kushoto inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Jeshi la Polisi lingependa kuitolea ufafanuzi ili isiendelee kuleta taharuki ambayo si ya lazima.
TAARIFA KWA UMMA
Ni kweli Askari Polisi walifika eneo hilo kumkamata mtuhumiwa anayejulikana kwa jina la Emmanuel Mweta, ambaye awali alikamatwa na baada ya kudhaminiwa aliruka dhamana kwa muda mrefu.
Leo Desemba 5,2024, Mlalamikaji alitoa taarifa Polisi kuwa, amemuona mtuhumiwa huyo, ikabidi askari wawahi haraka kumkamata.
Tunaendelea na uchunguzi kubaini ni nini kilichomfanya anayetajwa kwa jina la Alphonce Lusako kukimbia kisha kujirekodi video voice na kuirusha kwenye mitandao wakati siyo yeye aliyekuwa anatafutwa na Askari waliofika pale walijitambulisha kwake na kumweleza wamefika pale kwa nia ya kumtafuta Emmanuel Mweta.
Imetolewa na:
David A. Misime - DCP
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania
Pia soma ~ Makumbusho: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za "Reachout Tanzania", wakidai kumtafuta Wakili Lusako Alphonce
Shithole!CHAWA kama CHAWA umesema
Malaya wa kisiasa kama Malaya
CCM kama CCM kwenye ubora wako.
Akili zenyewe zimejaa laana huwezi kuelewa .
Unatumia Mkundu kufikiria.
Vipi unaomba usaidizi yamekushinda!!?
Mbona huyo ni bwege tangu akiwa Chuo!!Dah! Wanatuzalilisha awa polisi. Kwa lusako ninaye mfahamu si mtu wakukurupuka.
UumbwaaaWe mbusi unachamba vizee kama mtumwa huko copen ndio unajiona mjanja siio?
We kenge.Uumbwaaa