Polisi wafafanua tukio la Wakili Lusako Alphonce kukikimbizwa na Polisi katika Ofisi za "Reachout Tanzania"

Polisi wafafanua tukio la Wakili Lusako Alphonce kukikimbizwa na Polisi katika Ofisi za "Reachout Tanzania"

Hivi hamba utaratibu ambao sisi wananchi tunaweza kufuata na kulivunja jeshi la polisi?

Nakumbuka kama nitakuwa sahihi Yoweri Museveni Rais wa Ugabda aliwahi kulivunjilia mbali jeshi la polisi nchini uganda na kuliunda upya.
Wakati polisi hawapo, Museveni alimwaga jeshi kuchukua majukumu ya polisi.

Nashauri hili lifanyike.
 
View attachment 3169735
TAARIFA KWA UMMA
Taarifa iliyo upande wa kushoto inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Jeshi la Polisi lingependa kuitolea ufafanuzi ili isiendelee kuleta taharuki ambayo si ya lazima.

Ni kweli Askari Polisi walifika eneo hilo kumkamata mtuhumiwa anayejulikana kwa jina la Emmanuel Mweta, ambaye awali alikamatwa na baada ya kudhaminiwa aliruka dhamana kwa muda mrefu.
Leo Desemba 5,2024, Mlalamikaji alitoa taarifa Polisi kuwa, amemuona mtuhumiwa huyo, ikabidi askari wawahi haraka kumkamata.

Tunaendelea na uchunguzi kubaini ni nini kilichomfanya anayetajwa kwa jina la Alphonce Lusako kukimbia kisha kujirekodi video voice na kuirusha kwenye mitandao wakati siyo yeye aliyekuwa anatafutwa na Askari waliofika pale walijitambulisha kwake na kumweleza wamefika pale kwa nia ya kumtafuta Emmanuel Mweta.
Imetolewa na:

David A. Misime - DCP
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania

Pia soma ~ Makumbusho: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za "Reachout Tanzania", wakidai kumtafuta Wakili Lusako Alphonce
Kama aliyekuwa anatafutwa Si Alphonce Lusako kwanini mmeondoka na gari lake?
 
Ni kweli Askari Polisi walifika eneo hilo kumkamata mtuhumiwa anayejulikana kwa jina la Emmanuel Mweta, ambaye awali alikamatwa na baada ya kudhaminiwa aliruka dhamana kwa muda mrefu.
Leo Desemba 5,2024, Mlalamikaji alitoa taarifa Polisi kuwa, amemuona mtuhumiwa huyo, ikabidi askari wawahi haraka kumkamata.
Magufuli alisema watanzania wa leo siyo wapumbavu kama wale wa zamani
Wamjibu kwanza huyu member👇
 
Huyu Lusako atakuwa anamatatizo ya akili siyo mara yake ya kwanza kuleta taharuki.
CHAWA kama CHAWA umesema
Malaya wa kisiasa kama Malaya
CCM kama CCM kwenye ubora wako.

Akili zenyewe zimejaa laana huwezi kuelewa .

Unatumia Mkundu kufikiria.
 
  • Dislike
Reactions: UCD
Hapa ndipo nawahurumia polisi maana itafika mahali wakiingia hata baa kwa nia njema watu wanaweza wakatoka nduki.Kwa hofu ambayo imeshajengwa kwenye jamii.Hebu washauri wa nchi hii washauri watu kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Na iwe hivyo.
 
Msemaji wa Jeshi la Polis....amekuwa akijibu majibu mepesi, kwenye maswali magumu!

Amekuwa akijibu , utekaji na mauaji ya raia , kisiasa ,bila kujali uhai wa watanganyika

IGP naye Kawa chura kiziwi.
 
Polis bongo siowakuamini kabisa, kwa taarifa hii ya misime, jamaa kafanya la maana sana kusepa, tusingekuwa tunajadili haya muda huu.
 
Jeshi la police halifai na haliaminiki tena ili kuboreshwa livunjwe lishaasi kujiingiza kwenye masuala ya siasa limefeli sana hakuna anaelimani tena usalama wa raia na Mali zao wala sio ilivyo ni utekaji wa raia kwani hawawezi kukamata mtuhumiwa bika kuteka hii mbinu ovyo sana jeshi la police livunjwe liundwe upya jeshini waajiriwe watu wa fani au taaluma mbalimbali sio hawa warefu weusi wenye uwezo wa kukimbia kichwani hakuna kitu
 
View attachment 3169735
TAARIFA KWA UMMA
Taarifa iliyo upande wa kushoto inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Jeshi la Polisi lingependa kuitolea ufafanuzi ili isiendelee kuleta taharuki ambayo si ya lazima.

Ni kweli Askari Polisi walifika eneo hilo kumkamata mtuhumiwa anayejulikana kwa jina la Emmanuel Mweta, ambaye awali alikamatwa na baada ya kudhaminiwa aliruka dhamana kwa muda mrefu.
Leo Desemba 5,2024, Mlalamikaji alitoa taarifa Polisi kuwa, amemuona mtuhumiwa huyo, ikabidi askari wawahi haraka kumkamata.

Tunaendelea na uchunguzi kubaini ni nini kilichomfanya anayetajwa kwa jina la Alphonce Lusako kukimbia kisha kujirekodi video voice na kuirusha kwenye mitandao wakati siyo yeye aliyekuwa anatafutwa na Askari waliofika pale walijitambulisha kwake na kumweleza wamefika pale kwa nia ya kumtafuta Emmanuel Mweta.
Imetolewa na:

David A. Misime - DCP
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania

Pia soma ~ Makumbusho: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za "Reachout Tanzania", wakidai kumtafuta Wakili Lusako Alphonce

View: https://www.facebook.com/share/v/hisNC1Uy7vh5HikE/?mibextid=Mk4v2M
 
Back
Top Bottom