Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye ukurasa wa GJ Malisa ipo mkuu! Huku jahuVideo ipo wapi na sisi tuone hao manyamela wanavyofanya
Ni kweli kabsa ila kumbuka pia hata Police wamewahi kutoa na kusambazq taarifa za uongo, je bado hii sheria inafanya kazi na kwao?!Sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015 sect 16 inasema ni kosa kusambaza taarifa za uongo kwa njia ya mtandao kama amedanganya akamatwe apelekwe mahakamani akafungwe miaka mitatu au alipe faini 5M ili asirudie
Ungepewa no ya jalada, bado ungetaka kujua na mashahidi wa Jamuhuri ni akina nani!? Ufafanuzi naona umejitosheleza vizuri tu!!Polisi bana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Yaani kwenye taarifa yao wameshindwa kutoa hata namba ya jarada la kesi ya mtuhumiwa ili tujiridhishe kuwa ni kweli alikua na kesi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kweli mkuuNyie wote mnaoishi Tanzania ni watumwa.
Ni yeye ,Ila Kama ni huyo waache polisi wamkamate jambukuziHuyu Emanuel Mweta hakuwahi kuwa na kazi za tanesco kipindi cha nyuma?
Na ni mkazi wa mbezi?
Sasa imekuwaje au hio sio taarifa ya polisi kuba wahuni wameedit au?Emmanuel Mweta,si mtumishi Wala mfanyakazi wa Reachout Tanzania.
Polisi wamekuwa vituko nchini.
Hili ndilo tatizo. Wamejitakia wenyewe hawa polisi. Siku hizi hata polisi akija kukukamata kwa kufuata sheria bado mtu unakuwa na wasiwasi kwa sababu walishaonyesha wao siyo watu wazuri.Vyombo vyote vya usalama haviaminiki tena
Kawashtaki mahakamani maana hata wao huwa wanashtaki watuhumiwa mahakamani kwahiyo kama wamesambaza unaweza kabisa kuwashtakiNi kweli kabsa ila kumbuka pia hata Police wamewahi kutoa na kusambazq taarifa za uongo, je bado hii sheria inafanya kazi na kwao?!
Wewe unajiona akili zako zipo sawasawa.Huyu Lusako atakuwa anamatatizo ya akili siyo mara yake ya kwanza kuleta taharuki.
Sa mbona mmeondoka na magari yake km si yeye aliekuwa anahitajika? Polisi acheni kutuona ss ng'ombe,alah!
Si uende mahakamani unatulilia sisi tufanye nini.Sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015 sect 16 inasema ni kosa kusambaza taarifa za uongo kwa njia ya mtandao kama amedanganya akamatwe apelekwe mahakamani akafungwe miaka mitatu au alipe faini 5M ili asirudie
😆😆😆😆😆 Hakika Jeshi la polisi linapaswa kuvunjwa na kuundwa upya kabisa.View attachment 3169735Taarifa iliyo upande wa kushoto inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Jeshi la Polisi lingependa kuitolea ufafanuzi ili isiendelee kuleta taharuki ambayo si ya lazima.
TAARIFA KWA UMMA
Ni kweli Askari Polisi walifika eneo hilo kumkamata mtuhumiwa anayejulikana kwa jina la Emmanuel Mweta, ambaye awali alikamatwa na baada ya kudhaminiwa aliruka dhamana kwa muda mrefu.
Leo Desemba 5,2024, Mlalamikaji alitoa taarifa Polisi kuwa, amemuona mtuhumiwa huyo, ikabidi askari wawahi haraka kumkamata.
Tunaendelea na uchunguzi kubaini ni nini kilichomfanya anayetajwa kwa jina la Alphonce Lusako kukimbia kisha kujirekodi video voice na kuirusha kwenye mitandao wakati siyo yeye aliyekuwa anatafutwa na Askari waliofika pale walijitambulisha kwake na kumweleza wamefika pale kwa nia ya kumtafuta Emmanuel Mweta.
Imetolewa na:
David A. Misime - DCP
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania
Pia soma ~ Makumbusho: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za "Reachout Tanzania", wakidai kumtafuta Wakili Lusako Alphonce
Dah! Wanatuzalilisha awa polisi. Kwa lusako ninaye mfahamu si mtu wakukurupuka.Huyu Lusako atakuwa anamatatizo ya akili siyo mara yake ya kwanza kuleta taharuki.