Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walimu na polisi wote ni division 4Hatimaye walimu wapumzishwa kwa muda, zamu ya polisi sasa 'kufokewa' na raia.
Wee mbusii mlibahatika sare na Newcastle jumatano. Na leo mngebondwa tu shukuruni kipunga.We kenge.
We umbwaa mbusiii wa kijani wewe. Leo tungeendelea kuongoza ligi maana Eva Tony angekula goli 6 na City kadroo leo kenge wewe ungeandika mapambio kwa Arne SlotWee mbusii mlibahatika sare na Newcastle jumatano. Na leo mngebondwa tu shukuruni kipunga.
Uumbwaaa
Nyau de adriz
Unasema je? Vipi leo hujaenda kuosha mav ya vizee vya kizungu mkuu?Asshole
Wee philipo Mwakibinga
Acha vituko wewe. Hahaha nimecheka balaa.Unasema je? Vipi leo hujaenda kuosha mav ya vizee vya kizungu mkuu?
Unaongelea City wee mbusii wakati Arsenal na Chelsea wanawanyemelea?We umbwaa mbusiii wa kijani wewe. Leo tungeendelea kuongoza ligi maana Eva Tony angekula goli 6 na City kadroo leo kenge wewe ungeandika mapambio kwa Arne Slot
💯✔️Kibao kimegeuzwa fasta sana wangekua wamemnyakua wangesema hawawajui hao askari hawahusiki nao wapi Mzee Kibao RIP
Mwisho watasema hao ni masfisa wa TRA kwamba hizo ofisi za mawakili wanadaiwa kodi🤔🤔Hawachelewi kuwakana hata hao polisi waliofika kwenye tukio la kutaka kuondoka na mtu kwa hio umakini unahitajika
Ana matatizo ya Akili au Mungu amempa akili ya kutoroka kifo. Au wewe ndiye uliyetumwa kumpeleka kifoni.Huyu Lusako atakuwa anamatatizo ya akili siyo mara yake ya kwanza kuleta taharuki.