Polisi wafafanua tukio la Wakili Lusako Alphonce kukikimbizwa na Polisi katika Ofisi za "Reachout Tanzania"

Polisi wafafanua tukio la Wakili Lusako Alphonce kukikimbizwa na Polisi katika Ofisi za "Reachout Tanzania"

Hatimaye walimu wapumzishwa kwa muda, zamu ya polisi sasa 'kufokewa' na raia.
 
Wee mbusii mlibahatika sare na Newcastle jumatano. Na leo mngebondwa tu shukuruni kipunga.

Uumbwaaa

Nyau de adriz
We umbwaa mbusiii wa kijani wewe. Leo tungeendelea kuongoza ligi maana Eva Tony angekula goli 6 na City kadroo leo kenge wewe ungeandika mapambio kwa Arne Slot
 
Huyu Lusako atakuwa anamatatizo ya akili siyo mara yake ya kwanza kuleta taharuki.
Ana matatizo ya Akili au Mungu amempa akili ya kutoroka kifo. Au wewe ndiye uliyetumwa kumpeleka kifoni.
 
  • Dislike
Reactions: UCD
Back
Top Bottom