Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Leo Tarehe 22 Septemba 2024, Askari Polisi wa Mkoa wa Mtwara walifanya doria katika maeneo mbalimbali ya Mkoa huo ili kuimarisha usalama na kuhakikisha raia wanaendelea kuishi kwa amani.
Picha hiyo imechapishwa katika mtandao wa X (zamani Twitter) wa Jeshi la Polisi Tanzania [@tanpol ] wakiambatisha na ujumbe uliosema "Mtwara ni salama"
====
Doria hiyo pia imefanyika Simiyu kama ambavyo unaona kupitia picha hizi zilizochapishwa katika mtandao wa X wa Jeshi la Polisi Tanzania.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu Septemba 22, 2024 limefanya doria katika mitaa mbalimbali ya Mji wa Bariadi Mkoani humo kwa lengo la kuimarisha usalama wa raia na mali zao. "Simiyuni Salama"
====
Doria hiyo pia imefanyika Simiyu kama ambavyo unaona kupitia picha hizi zilizochapishwa katika mtandao wa X wa Jeshi la Polisi Tanzania.