Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

Mi nawaza tu hivi hizi gharama zoooote toka polisi na magari yao kuzunguka usiku kucha Jana na leo mchana kutwa unabeba mtu kumsafirisha sijajua ni gharama kiasi gani zinatumika, zina tija kiasi gani kwa maendeleo na ni nani atatwiswa au ndio mambo ya tozo na Kodi kandamizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…