Tupo na dictactress ama nini kipindi hii?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IndeedTupo na dictactress ama nini kipindi hii?!
Kama ni unga,mdude asiachwe, atupwe kwenye stoo mwaka tenaWamesahau ya mdude? Mungu hafurahishwi na wanaodhulumu haki
Kwa nini mlimsubiri hadi awe kwenye issue ya kongamano,acheni visingizio vya upumbavu,hii nchi unaenda kupitia hali ngumu ya kiuchumi kuliko wakati wa mwendazake.Mnajihami ee ili akikutwa navyo mdai kabambikizwa. Mbowe ni mafia na anataka rudisha mateja mitaani, adhibitiwe hamna cha kuonewa, mnajaribu kujihami ila mnajua afanyacho kamanda wenu.
halafu kesho tunashangaa kwann kenya inatuzidi kila sekta kwny biashara na uchumi, huku sisi ni kukimbizana na wapinzani ambao wanatishia madaraka tu ya kundi fulani la jamii, na wapinzani hao wapo kikatiba.Mnajihami ee ili akikutwa navyo mdai kabambikizwa. Mbowe ni mafia na anataka rudisha mateja mitaani, adhibitiwe hamna cha kuonewa, mnajaribu kujihami ila mnajua afanyacho kamanda wenu.
hayo madawa yananyesha kama mvua kutokea juu, au yanapita kati entries zinazolindwa?Bilicanas ilikuwa kijiwe cha kuuza na kununua madawa,may be
Wakibanwa watataja njia wanazotumia kuyapitisha,na watu anaoshirikiana naohayo madawa yananyesha kama mvua kutokea juu, au yanapita kati entries zinazolindwa?
Sasa hivi anayahifadhi home ktk chumba cha high securityBilicanas ilikuwa kijiwe cha kuuza na kununua madawa,may be