Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

Siku zote MUNGU ni fundi....haihitajiki tujue ufundi wake baada ya UJINGA WA CHADEMA....
Mbona fundi aliyejidai anazika chladema kalala chini ya kilo 200 za mchanga Samia kesha isha hatatawalal kwa raha kama ilivyokuwa kwa magufuli atakunywa damu za watu lakini mwishowake itakuwa mfupi
 
View attachment 1862780

HII MIPANGO IPO MDA SANA NA WANAMTAFUTA KILA ANGLE KWA SASA ILI WAMTIE NGUVUNI WADHOOFISHE WAFUASI WAKE. BE WARNED CC MNACHOFANYA HAKINA MASHIKO
Chadema watafute njia nyingine ya kukitangaza chama chao kupitia sera nzuri, na ilani yenye matumaini ya kweli kwa watanzania. Hii style ya kupimishana ubavu na serikali na baadae wao ndio wanaokimbilia mitandaoni kulalamika haitowasaidia kitu kama ilivyoshindwa kuwasaidia miaka zaidi ya mi5 iliyopita. Hakuna chama makini kinachovuna wanachama wapya kwa kupitia malalamiko na kelele za mitandaoni, watanzania wa sasa wako makini sana hawapumbazwi na malalamiko yasiokuwa na msingi, wao wanataka kuona maendeleo ya kweli kupitia vyama vya siasa, bunge na serikali.
 
Hiki chama hivi hakina mawazo mapya ya kukifanya chama mbadala? Yaaani upeo wake umegota kabisa, hawana jipya la kuwafanya watz wakipe hadhi! Mbowe na genge lake wajitumbue wenyewe ili kukinusuru chama! Hii mimtu haina jipya! Jifunzenu kwa CCM, kinabadirika kila wakati kwa kujitathmini, kujirekebisha na hata kujivua magamba!
CCM oyeeeh!
 
Ajiandae na kufa pia
Kufa si adhabu....

Wewe utakufa....
Mimi nitakufa....

Wazazi wako watakufa.....

Rais haogopi kufa katika KULINDA AMANI ,UTULIVU NA USALAMA WA NCHI.....

Aendelee tu kuushughulikia UJINGA WENU ....
 
Alishindwa dikiteta magufuli kwa mdude, Mama ataweza kwa Mbowe? Time will tell.
Alishindwaje. Usiwe mchochezi, kijana amefanywa kitu mbaya na katoka kwa huruma za mzazi.
Usimchongee aisee,
 
Back
Top Bottom