Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chief umenikumbusha mzee wangu aliacha laana kwa mtoto wake yeyote atakayehitaji kuwa polisi,mzee alisema ni bora ufe masikini kuliko uwe polisiPolice ni kazi ya laana
Kwani Kesi ya Akwilina walimbambikizia ilikuwaje?Wanambambikia kesi ili iweje
Hujitambui ndugu , samahan kwa maneno hayo . Ila kaachini utafakariKufa si adhabu....
Wewe utakufa....
Mimi nitakufa....
Wazazi wako watakufa.....
Rais haigopi kufa katika KULINDA AMANI ,UTULIVU NA USALAMA WA NCHI.....
Aendelee tu kuushughulikia UJINGA WENU ....
Kamanda wenu naniMnajihami ee ili akikutwa navyo mdai kabambikizwa. Mbowe ni mafia na anataka rudisha mateja mitaani, adhibitiwe hamna cha kuonewa, mnajaribu kujihami ila mnajua afanyacho kamanda wenu.
Sasa hivi Kiko wapi mbona bado tele wapo..nenda meananyamala hospitalimitaa ya nyuma mateja kibao..mtaa wa Kongo mwisho mateja kibao...Bilicanas ilikuwa kijiwe cha kuuza na kununua madawa,may be
Sawa....Hujitambui ndugu , samahan kwa maneno hayo . Ila kaachini utafakari
Mzee wako anataka tuishi maisha ya PORINI?!!Chief umenikumbusha mzee wangu aliacha laana kwa mtoto wake yeyote atakayehitaji kuwa polisi,mzee alisema ni bora ufe masikini kuliko uwe polisi
Huo sio ujinga Kudai katiba ni ujinga? Kutetea haki ni ujinga? Mbowe anatetea familia yake kwani? Au anatetea ndugu zake?Sawa....
Nimeshatafakari kuwa UNATAKA NIJITAMBUE kutokana na VIGEZO VYAKO ,anyway mh.Rais aendelee kulilinda TAIFA lisiingie katika CHOKOCHOKO ZA "VITENDO" kwa kuushughulikia UJINGA WA CHADEMA ... aendelee tu....aendelee tu.....
Mbowe yuko pale kwa sababu ya mfuko wake. Vijana wengi humu mtandaoni wanakwenda msalani sababu ya mfuko wake, inamaana Mbowe akitoka katika uenyekiti hawatokuwa na mahala pengine pakula, ndio maana hata anapoharibu wanampigania kwa nguvu zote ili aendelee kubaki kitini na wao waendelee kupata chochote kutoka mfukoni.Hiki chama hivi hakina mawazo mapya ya kukifanya chama mbadala? Yaaani upeo wake umegota kabisa, hawana jipya la kuwafanya watz wakipe hadhi! Mbowe na genge lake wajitumbue wenyewe ili kukinusuru chama! Hii mimtu haina jipya! Jifunzenu kwa CCM, kinabadirika kila wakati kwa kujitathmini, kujirekebisha na hata kujivua magamba!
CCM oyeeeh!
Mungu hakai MIFUKONI mwenu...Mbona fundi aliyejidai anazika chladema kalala chini ya kilo 200 za mchanga Samia kesha isha hatatawalal kwa raha kama ilivyokuwa kwa magufuli atakunywa damu za watu lakini mwishowake itakuwa mfupi
Sio kweli, huo ni mtazamo wako binafsiMbowe yuko pale kwa sababu ya mfuko wake. Vijana wengi humu mtandaoni wanakwenda msalani sababu ya mfuko wa Mbowe, inamaana Mbowe akitoka hawatokuwa na pakula ndio maana hata anapoharibu wanampigania kwa nguvu zote ili aendelee kubaki kitini na wao waendelee kupata chochote kutoka mfukoni.
Icho chumba Mbowe atafumuliwa malinda hata amini.Na baada ya kumbambika wampeleke gereza la kisongo na apangiwe chumba kimoja na Sabaya
Naona walikutoa UBONGO wote hawakukuachia hata kidogoMbowe yuko pale kwa sababu ya mfuko wake. Vijana wengi humu mtandaoni wanakwenda msalani sababu ya mfuko wake, inamaana Mbowe akitoka katika uenyekiti hawatokuwa na mahala pengine pakula, ndio maana hata anapoharibu wanampigania kwa nguvu zote ili aendelee kubaki kitini na wao waendelee kupata chochote kutoka mfukoni.
Mbowe anatetea MASLAHI yake na familia yake.....Huo sio ujinga Kudai katiba ni ujinga? Kutetea haki ni ujinga? Mbowe anatetea familia yake kwani? Au anatetea ndugu zake?
Mbowe anatetea Katiba ya wananchi wote wa Tanzania bila kujali jinsia , kabila wala umri elewa hilo.
Je raisi kikwete alikuwa mjinga kuanzisha mchakato wa katiba mpya?
Samia suluhu alikuwa mjumbe wa mchakato huo alikuwa mjinga?
Katiba ni yetu sote kwa maendeleo ya wananchi wa Tanzania
Nakwambia Mungu ataku suprise hutaamini masikio na macho yako. Haki itasimama siku zote.Mungu hakai MIFUKONI mwenu...
Hivi lini mtaacha tabia zenu za DELUSION na ILLUSION ?!!!
Punda afe mziko UFIKE....
Mh.SSH ameapa KUUFIKISHA MZIGO HUO wa kuilinda katiba kwa ajili ya usalama ,amani na UTULIVU wa nchi.....
Abiy Ahmed HAJAKUFA kwa KUWASHUGHULIKIA wakorofi wa TIGRAY....
#KaziIendelee
CCM inaungwa mkono na watu wajinga (TWAWEZA).Hiki chama hivi hakina mawazo mapya ya kukifanya chama mbadala? Yaaani upeo wake umegota kabisa, hawana jipya la kuwafanya watz wakipe hadhi! Mbowe na genge lake wajitumbue wenyewe ili kukinusuru chama! Hii mimtu haina jipya! Jifunzenu kwa CCM, kinabadirika kila wakati kwa kujitathmini, kujirekebisha na hata kujivua magamba!
CCM oyeeeh!
Mdude Nyagali aliishi ZIMBABWE....Unaposema polisi sio wajinga umesahau ya mdude?
Mawazo mapya huambatana na uongozi mpya Vyama vya Siasa vingi Tanzania vinahitaji Reform ya mifumo ya kiuongozi ikiwemo na Chadema.Hiki chama hivi hakina mawazo mapya ya kukifanya chama mbadala? Yaaani upeo wake umegota kabisa, hawana jipya la kuwafanya watz wakipe hadhi! Mbowe na genge lake wajitumbue wenyewe ili kukinusuru chama! Hii mimtu haina jipya! Jifunzenu kwa CCM, kinabadirika kila wakati kwa kujitathmini, kujirekebisha na hata kujivua magamba!
CCM oyeeeh!
Hujui unacho kiongea ndugu, kuhusu katiba ya nchi na familia ya Mbowe vina uhusiano gani?Mbowe anatetea MASLAHI yake na familia yake.....
Unaisemea familia ya Mbowe ambayo ina vitega uchumi ULAYA ,MAREKANI NA DUBAI?!!!
Hivi unawajua watoto wa MBOWE?!!!
Lini uliwaona WAKIFANYA SHUGHULI afanyazo "sakala" Mdude Nyagali kufikia KUKAMATWA NA KUTIWA MAHABUSU?!!!
Endeleeni UPOPOMA wa kuyapigania maslahi KIKUNDI.....