Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

Mnajihami ee ili akikutwa navyo mdai kabambikizwa. Mbowe ni mafia na anataka rudisha mateja mitaani, adhibitiwe hamna cha kuonewa, mnajaribu kujihami ila mnajua afanyacho kamanda wenu.
Mpumbavu katika ubora wako. Anayetafuta sababu ni sisi au ni wao. Kama walikuwa wanamshuku ni kwa nini wasingemsachi kabla
 
Nakwambia Mungu ataku suprise hutaamini masikio na macho yako. Haki itasimama siku zote.

Kulinda katiba ni pamoja na kuirekebisha panapo bidi kurekebishwa
Maneno hayo ya KIPOPOMA Kutwa yanahubiriwa na wafanya VURUGU NA MIGOMO VYUO VIKUU....kamwe hayajawahi KUWARUDISHA CHUO WACHACHE wanaovuka mipaka .....

Historia imejaa TELE ..labda kama hujisumbui KUISOMA.....

Punda AFE MZIGO UFIKE....
Mh.SSH ataufikisha tu mzigo wa kuisimamia KATIBA kwa kuulinda UTULIVU ,AMANI NA USALAMA WA MAMA TANZANIA!!!

#KaziIendelee
 
Mbowe na Mdude na CHADOMO ni waganga njaa tu.
Niliwaheshimu sana mwanzo. Sasa nimetambua sababu ya hata akina Mdee kuwakimbia.
Ni waganga njaa tu.
 
Endeleeni kusifu na kuabudu, mapambio kwenu ni kawaida, hamkai mka reasoning kwanini mnapandishiwa kodi kila siku? Kwanini mnatukanwa na wanasiasa kila siku? Kwanini serikali haitekelezi majukumu yake ? Kwanini watu wanaiba mabilioni na hawafanywi chochote?

Mnabaki kusifu na kuabudu sanamu, ipo siku mtajua hamjui tupo .
 
Mbowe na Mdude na CHADOMO ni waganga njaa tu.
Niliwaheshimu sana mwanzo. Sasa nimetambua sababu ya hata akina Mdee kuwakimbia.
Ni waganga njaa tu.
Sawah mtazamo wako huo, unahaki kikatiba kutoa maoni yako bila kuingiliwa na mtu yoyote.
 
Hii ndio Taarifa ya sasa tuliyopenyezewa na watu wazalendo kutoka ndani ya jeshi Polisi Tanzania .

Lakini tunaendelea kusisitiza kwamba Hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu

View attachment 1862707

View attachment 1862761

Mungu yupi huyo mkuu unamzungumizia. Mbowe Ana itakatifu gani. Embu Acha ujinga wewe. Mambo ya Mungu na haya masiasa wapi na wapi. Una uhakika anayoyajua Mungu kuhusu CHadema Ni haya unayojajua wewe. Huku ulaya wote wangekufaaaa. Yani unaandika ujinga mpaka nawaza mmelishwa damu au.
 
Hujui unacho kiongea ndugu, kuhusu katiba ya nchi na familia ya Mbowe vina uhusiano gani?

Halafu huwezi kunifundisha kuhusu mbowe kwasababu mbowe wewe ndio humjui sio mimi .

Mali zake na chama havihusiani kabisa Katiba ni yawanachi wote sio yake.
Kwa hiyo ukimjua wewe Basi wengine HATUMJUI ? 😲

Kuna uhusiano mkubwa kwa CHOKOCHOKO za Mbowe kutaka KUITIA NCHI katika matatizo huku yeye AKIKIMBILIA ughaibuni katika vitega uchumi vyake....hakuwepo nchini kipindi cha kuulalamikia UTAWALA WA AWAMU YA 5....
(Thesis + Anti-Thesis=Synthesis).

Akienda UGHAIBUNI ,hatomuacha Tandale mwanaye YEYOTE....atabaki Sosopi na Sakala Mdude Nyagali....
 
Mungu yupi huyo mkuu unamzungumizia. Mbowe Ana itakatifu gani. Embu Acha ujinga wewe. Mambo ya Mungu na haya masiasa wapi na wapi. Una uhakika anayoyajua Mungu kuhusu CHadema Ni haya unayojajua wewe. Huku ulaya wote wangekufaaaa. Yani unaandika ujinga mpaka nawaza mmelishwa damu au.
Kwako ni ujinga lakini unatakiwa utafakari sana , ndio utajua namaanisha nini . Ukija kichwa kichwa huwezi pata kitu hapa
 
Endeleeni kusifu na kuabudu, mapambio kwenu ni kawaida, hamkai mka reasoning kwanini mnapandishiwa kodi kila siku? Kwanini mnatukanwa na wanasiasa kila siku? Kwanini serikali haitekelezi majukumu yake ? Kwanini watu wanaiba mabilioni na hawafanywi chochote?

Mnabaki kusifu na kuabudu sanamu, ipo siku mtajua hamjui tupo .
Nitaendelea kuisifu na kuipamba CCM kwa kuwa hakuna MBADALA WA AMANI ,UTULIVU NA USALAMA...HAKUNA....

Hiyo siku USEMAYO wala haipo...ipo mawazoni mwako tu...haipo kwa kweli....

Ni bora PUNDA AFE ,MZIGO UFIKE....

Mh.Rais SSH ameapa KUUFIKISHA MZIGO wa kuilinda katiba yenye KIPAUMBELE cha amani KWANZA ,utulivu KWANZA ,Usalama KWANZA....

Hakuna kurudi nyuma....

#KaziIendelee
 
Back
Top Bottom