Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Ameshatafakari....Kwako ni ujinga lakini unatakiwa utafakari sana , ndio utajua namaanisha nini . Ukija kichwa kichwa huwezi pata kitu hapa
Ila....
Hujamjibu.....
Je MUNGU yupi huyo anayempigania MBOWE?!!
Mungu yupi huyo?!!!
Mnamuingiza MUNGU katika siasa zenu KOKO NA ZA KISAKALA?!!!