Chairman Lee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,353
- 1,492
Mama yenu nyie Mataga sio mama yangu . Mimi ni na mama yangu, sihitaji mama mwingine.Huna kumbukumbu kwa alichosema Sakala MDUDE....
Narudia tena....alisema "huyo mama yenu"...hujui ,hukumbuki ama pang'ang'a tu ?!!!
Mataga hamjawahi kuwa na Akili since the beginning tambueni kuwa Raisi ameshajua hilo. Hata nyie mnajijua kwanzia Mwenyekiti wenu mpaka ninyi wadogo wadogo.
Hamwezi kujeng hoja mkaisimamia , niambie katika uzoefu wako siasa Mataga gani ameshawahi kuteuliwa akawa na akili timamu. Mfano Bashite , sabaya, hapi, chalamila, nk wote hovyo kabisa.
Ndio maana Uvccm ni jumuiya ya wapumbavu ambao wanadhani watakuwa viongozi wa nchi hii.
Bora mkalime kuliko kufNya siasa chafu.