Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

Haya ndio matokeo ya kuiba kura kishamba, mmewatoa bungeni mkidhani wataacha siasa , watu wameamua kufanya siasa mtaani, mmeanza kupaniki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kazi ikiendelea haya yatapungua vilevile:

1)MAJAMBAZI

2)"WAFANYABIASHARA WA UNGA NGADA"
Jambazi moja Sabaya limeshapunguza, liko chini ya utawala wa cell leader(nyapara wa selo).
 
Eti mama wa kambo!

Na bado, si ulikuwa unamdemkia humu kwamba anaupiga mwingi baada ya dhalimu wako kufariki?

Ahaaa wapi sijawahi kumsifia huyo mama zaidi ya kusema sio dhalimu kama yule ibilisi aliye motoni. Hata ulazimishe huyu mama sio dhalimu kama yule ibilisi fullstop.
 
Ni swali rahisi, serikali iliingia madarakani kikatiba, na katiba ni mali ya wananchi.
 
Sasa unawaambia wananchi hivi au chadema?
Mbowe na Chadema wanafundisha wananchi umuhimu wa kuanza mchakato wa kikatiba nyie mnaona kama wanakosea.

Umuhimu wa hili jambo wanalolisemea kina Mbowe na Mwamakula mtakuja kulitafuta kwa gharama kubwa sana!
Wananchi hawana muda na hayo maujinga yenu.. Katiba ndio itapeleka chakula kwenye meza zao au Katiba ni kwaajili ya maslahi ya wanasiasa??
 
Kamanda utaratibu wa kupima mkojo utarudishwa mkiendelea na ukaidi
Tuna dikteta Ikulu akiendelea kushupaza shingo bila kutoa uhuru na haki kwa Watanzania wote basi ataleta balaa kubwa sana nchini.
 
Back
Top Bottom