orturoo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 2,947
- 4,876
Mama na hao viongozi wamejisahau kama na wao ni binadamu ,jamani duniani tunapita tuu angalieni mnaacha alama gani!Wamesahau ya mdude? Mungu hafurahishwi na wanaodhulumu haki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama na hao viongozi wamejisahau kama na wao ni binadamu ,jamani duniani tunapita tuu angalieni mnaacha alama gani!Wamesahau ya mdude? Mungu hafurahishwi na wanaodhulumu haki
Shetani ni wale wote wanaoleta CHOKOCHOKO......Hii ndio Taarifa ya sasa tuliyopenyezewa na watu wazalendo kutoka ndani ya jeshi Polisi Tanzania .
Lakini tunaendelea kusisitiza kwamba Hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu
View attachment 1862707
View attachment 1862761
Acha kutia huruma za kitoto....Mama na hao viongozi wamejisahau kama na wao ni binadamu ,jamani duniani tunapita tuu angalieni mnaacha alama gani!
Propaganda feki....Polisiccm sasa wanahamia kwenye master bedroom nyumbani kwa Mbowe kuendelea na upekuzi. Huko walikomaliza wamechakua chakua na kutupa vitu hovyo hovyo kila sehemu.
Upigane na nani ?!!!Wazo langu hii nchi Bora tupigane tu
polisi walishachafuka kabla hujazaliwaShetani ni wale wote wanaoleta CHOKOCHOKO......
Polisi si WAJINGA kiasi hicho....
Hivi lini CHADEMA wataacha propaganda feki za kulichafua Jeshi la polisi?
Unaposema polisi sio wajinga umesahau ya mdude?Shetani ni wale wote wanaoleta CHOKOCHOKO......
Polisi si WAJINGA kiasi hicho....
Hivi lini CHADEMA wataacha propaganda feki za kulichafua Jeshi la polisi?
Kwa kujifanya mcha Mungu usipime !Mama wa hovyo sana huyu
Hao POLISI wazuri na wasafi mnaowataka wanapatikana mbinguni.....polisi walishachafuka kabla hujazaliwa
Naona mwenyekiti anachezeshwa mdundiko hatari sana. Kuna watu walimisi hizi amsha amsha. Kwa kifupi watoto wa mjini wanasema KIMENUKA!!Hii ndio Taarifa ya sasa tuliyopenyezewa na watu wazalendo kutoka ndani ya jeshi Polisi Tanzania .
Lakini tunaendelea kusisitiza kwamba Hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu
View attachment 1862707
View attachment 1862761
Wapi amejifanya mchamungu ?!!!Kwa kujifanya mcha Mungu usipime !
Zote hizo zinabaki kuwa hisia tu....Ogopa mwanamke mwenye madaraka makubwa sana harafu anajihisi labda hapewi recognision anayostahili. Haya ndio matokeo yake