PreGE2025 Polisi wafika Ofisi za ACT Wazalendo kumkamata Janeth Rithe kwa agizo la ZCO

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sahihi kabisa hata yeye alijua atakamatwa ili apate umaarufu sababu lugha aliyotumia sio sahihi kwa kiongozi wa nchi. Kutafuta umaarufu kwa njia ya kipuuzi sana. Huwezi kuita raisi wa nchi amechannganyikiwa.
 
Watajuana wenyewe la muhimu HATUPIGI KURA UCHAGUZI HUU.
 
Sahihi kabisa hata yeye alijua atakamatwa ili apate umaarufu sababu lugha aliyotumia sio sahihi kwa kiongozi wa nchi. Kutafuta umaarufu kwa njia ya kipuuzi sana. Huwezi kuita raisi wa nchi amechannganyikiwa.
Lisu nae?
 
kwani kuchanganyikiwa ni tusi?
 
Sahihi kabisa hata yeye alijua atakamatwa ili apate umaarufu sababu lugha aliyotumia sio sahihi kwa kiongozi wa nchi. Kutafuta umaarufu kwa njia ya kipuuzi sana. Huwezi kuita raisi wa nchi amechannganyikiwa.
If it is the truth, what is wrong with it?
 
Ukweli utoke wapi, labda kama kampima na report ya dr ikasema kachanganyikiwa hapo kweli. Lakini huwezi sema mtu kachanganyikiwa kama hujampima akili. Sio sahihi kabisa
 
Si unaweza kuchanganyikiwa kimaamuzi?
 
Hivi Hawa wanasiasa hawawezi kuhubiri siasa kwa agenda zao bila kuweka matusi kwa Raisi wa Nchi?

Wanadhani ipo namna ya kuporomosha matusi kwa Raisi halafu Dola ikakaa kimya?

Matusi gani aliyomtukana?
 
Kila mtenda dhambi anamwisho mbaya, Lungu nae yuko wapi😉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…