Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Tunataka Jeshi la Polisi liheshimu (with consistency) haki ya raia ya kujieleza (freedom of expression). Leo polisi wamefanya kazi yao kwa kuzingatia sheria. Kama sote tulivyoona, hawakuvuruga maandamano ya Wakatholiki feki. Kazi nzuri!
Kwa maandamano yoyote yajayo, polisi watumie hii conduct yao ya leo kama template. Wawe wa kwanza kuheshimu Katiba na sheria kabla ya kuwataka watu wengine kutii sheria!
Kwa maandamano yoyote yajayo, polisi watumie hii conduct yao ya leo kama template. Wawe wa kwanza kuheshimu Katiba na sheria kabla ya kuwataka watu wengine kutii sheria!