Polisi wakamata dhahabu ya Sh milioni 140 ikitoroshwa, mtuhumiwa atokomea, atelekeza gari


Ipo hivi:

Nunua dhahabu Nyarugusu kwa wachimbaji wadogo walalie aidha kwa njaa zao au ujinga wao.

Au nunua dhahabu Nyarugusu ongeza purity ndo peleka nje ili upate faida.

Au chimba mwenyewe bana matumizi kwenye uchimbaji ili bdae ukiuza upate faida

Au nunua dhahabu, kama una leseni, kisha itunze hadi bei ya dhahabu ikipanda ndo iuze ili upate faida. Bei ya dhahabu inabadilika kila siku kama hisa.

Nje ya hapo bei ya dhahabu yenye purity sawa haipishani sana toka eneo moja hadi lingine duniani kote.

Ingia online search gold price leo TZ na New York ujionee.
 
mtu anakimbiaje dhahabu yake aliyo ihangaikia kwa miezi kadhaa kwenye ma-plant na ma-elusion?
 
Wapatiwe mil.2 ya Kazi nzuri afu nyingine ipigwe mnada serikali ipate Chao au ipelekwe BOT Mbeya.
 
Mchimbaji mdogo mwenye leseni akipata dhahabu yake akaitunza ni kosa?
 
Hivi inawezekana kweli mtu akashindwa kuwakimbia kwa gari halafu akaweza kuwakimbia kwa miguu??? Kweliii??? Hivihivi!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…