Said Shabani Kondo
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 312
- 196
Ilo nalo NenoHawa Polisi siku hizi wasivyoaminika hasa likija swala la madini hata kama ni mimi ningekimbia.
Na hapo swali la msingi ni je, kweli idadi iliyotajwa ndiyo iliyokamatwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilo nalo NenoHawa Polisi siku hizi wasivyoaminika hasa likija swala la madini hata kama ni mimi ningekimbia.
Na hapo swali la msingi ni je, kweli idadi iliyotajwa ndiyo iliyokamatwa?
Wanakula asilimia 7.3 ya mzigo wako.Huenda hilo ndio tatizo hizo Tozo na Kodi sio rafiki..., hivi kuna mtu anaweza akanipa breakdown hapo Serikali inakula ngapi kwenye kila gram
Basically tozo alizipaswa kulipia (ukiondoa maswala ya kuingiza tamaa kwa askari wetu) ni 7% kama mrahaba na 0.3% ya halmashauri kingine labda kama aliitoa kwenye eneo lenye leseni kuna kiji asilimia ya mmiliki wa leseni....Otherwise hio thahabu ameikimbia bure tu...Huenda hilo ndio tatizo hizo Tozo na Kodi sio rafiki..., hivi kuna mtu anaweza akanipa breakdown hapo Serikali inakula ngapi kwenye kila gram
Basically tozo alizipaswa kulipia (ukiondoa maswala ya kuingiza tamaa kwa askari wetu) ni 7% kama mrahaba na 0.3% ya halmashauri kingine labda kama aliitoa kwenye eneo lenye leseni kuna kiji asilimia ya mmiliki wa leseni....Otherwise hio thahabu ameikimbia bure tu...
Nijuavyo mimi kuna watu wako mjini (Dsm) wanatoa mitaji kwa hawa blockers kwa mashart ukipata dhahabu lazima uwapelekee wao sasa sheria za madini haziko hivo ukiwa blocker dhahabu lazima uuuzie kwenye soko la madini ndan ya mkoa husika tofauti na hivo unatafsrika unatorosha madini huenda ndugu yetu nae alikua katika mkondo huo huo (Nawaza kimoyo moyo).
Na ni hio tu hakuna makando kando mengine Stamp Duty; Labda Duties za hapa na Pale; n.k., n.k..., Tatizo hii nchi utitiri ni mwingi sana huchelewi kuambiwa na mdau hapo kuna na kuchangia percent kadhaa mwenge na madarasa yaani ni matozo na red tapes zisizoisha....Wanakula asilimia 7.3 ya mzigo wako.
Kwahio Kisheria ni 7.3 Percent ya Value ya Mzigo vipi huenda pia valuation yao inakuwa ipo exaggerated au wanaangalia soko la dunia kw wakati huo ?Basically tozo alizipaswa kulipia (ukiondoa maswala ya kuingiza tamaa kwa askari wetu) ni 7% kama mrahaba na 0.3% ya halmashauri kingine labda kama aliitoa kwenye eneo lenye leseni kuna kiji asilimia ya mmiliki wa leseni....Otherwise hio thahabu ameikimbia bure tu...
Nijuavyo mimi kuna watu wako mjini (Dsm) wanatoa mitaji kwa hawa blockers kwa mashart ukipata dhahabu lazima uwapelekee wao sasa sheria za madini haziko hivo ukiwa blocker dhahabu lazima uuuzie kwenye soko la madini ndan ya mkoa husika tofauti na hivo unatafsrika unatorosha madini huenda ndugu yetu nae alikua katika mkondo huo huo (Nawaza kimoyo moyo).
Kuna story zinaibuka kutaka ku-neutrize tuhuma lukuki za Polisi,Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Maafisa Madini Wilaya ya Chunya limefanikiwa kukamata madini aina ya dhahabu yenye thamani zaidi ya Tsh milioni mia arobaini (140).
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei, ameeleza kuwa Februari 9, 2022 majira ya saa 19:30 usiku katika kizuizi cha Polisi Chalangwa kilichopo Kata ya Chalangwa, Tarafa ya Kiwanja, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, Askari Polisi kwa kushirikiana na Maafisa Madini Wilaya ya Chunya walikamata Gari T.948 DTM aina ya Toyota Crown iliyokuwa ikiendeshwa na mtu aliyefahamika kwa jina BARAKA SINGU @ NYODA, ambaye baada ya kusimamishwa kwenye kizuizi hicho alikimbia na kutelekeza gari hiyo.
Katika upekuzi uliofanywa kwenye gari hiyo vilikutwa vipande 36 vya madini aina ya dhahabu vyenye uzito wa gramu 1367.07 vyenye thamani ya Tshs. 147,694,961.83/= na fedha taslimu Tshs. 504,600/=, lengo ni kukwepa kodi na tozo za serikali.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na msako wa kumtafuta mtuhumiwa kwa hatua zaidi za kisheria.
Aidha, linatoa rai kwa wafanyabiashara kutambua kuwa mkono wa serikali ni mrefu hivyo ni vyema kufanya biashara halali kwa kufuata sheria na taratibu zilizopo ili kuepuka kukinzana na sheria.
View attachment 2114949
Yan hio value ipo constant (7.3%) means kama soko la dunia siku hio gram 1= 100,000/= (mfano) na wewe una gram 10 means utauza 1 M kwenye hio 1M ni Tsh 73000/= tu ndo utapaswa kulipa zilizobaki ni za kwako...Vinginevyo ni ile hali askari keshaona ww una dhahabu yenye grams nying na ni mchumi sana hua hutoi posho basi wanaamua kukukomalia na ukiwa hujui sheria za madini bas utababaika mno.Kwahio Kisheria ni 7.3 Percent ya Value ya Mzigo vipi huenda pia valuation yao inakuwa ipo exaggerated au wanaangalia soko la dunia kw wakati huo ?
Asante kwa ufafanuzi nimefekenyua kwenye mitandano nimekutana na hili ambalo huenda likawasaidia wengine (Copy & Paste)Yan hio value ipo constant (7.3%) means kama soko la dunia siku hio gram 1= 100,000/= (mfano) na wewe una gram 10 means utauza 1 M kwenye hio 1M ni Tsh 73000/= tu ndo utapaswa kulipa zilizobaki ni za kwako...Vinginevyo ni ile hali askari keshaona ww una dhahabu yenye grams nying na ni mchumi sana hua hutoi posho basi wanaamua kukukomalia na ukiwa hujui sheria za madini bas utababaika mno.
Mh! Hivi alishindwa kutoa rushwa akaacha zigo la namna hiyo..?
Huyu ndo mtu alieukimbia utajiri alasivyo ipo namna imetendeka kwa maisha haya uache 140 million!!!! Ha ha ha!.
Mmekuwa waovu sana mpaka watoto wetu wanakimbia Mali zao coz of umafia wenu.Ni kheri kama mmemwacha mzima
Sasa he ukikamatwa ukiwa njiani kwenda kuprocesa kibali inakuwaje hivi hawaoni hii Sheria ipo unreasonable???
Kimsingi huwezi kutoka mgodini uache madini pale utakuta hayapo unless haujui mazingira ya migodini, jiwe likitoka huwa silaha nje nje ni hakuna mtu kutoka kwenye shimo Wala mtu kuingia.
Tajiri anashuka shimoni anahesabu mawe yake anayachimbia kibindoni then akitoka nje gari inawashwa Kama imeibiwa na hakuna kusimamia hata trafiki akikusimamisha Wala polisi yeyote.
Sasa Hawa polisi wa chunya taarifa yao Ina walakini, huyu jamaa lazima Kuna kitu maana kakimbia akiwa ndani ya wilaya na mara nyingi ukiona polisi wameamua kuripoti basi wameshindwana na jamaa na wanaona atawachomea.
Huyo kasomewa mnara yaan kachomwa hata angeweka ndani ya tairi wangemnasa tuKwan dhahabu na fedha ukiziwekakwenye siti alafu kwenye radio unaweka nyimbo za kikatoliki na bibliatatu nne ndan watakujua kweli
Asante kwa ufafanuzi nimefekenyua kwenye mitandano nimekutana na hili ambalo huenda likawasaidia wengine (Copy & Paste)
KINACHO FATIA BAADA YA MWENYE LESENI YA UCHIMBAJI WA MADINI PML KUCHIMBA MADINI YAKE NA KUYAPATA.... NI HIKI HAPA CHINI.
UKIMILIKI LESENI YA KUCHIMBA MADINI PML, WEWE LESENI HII ITAKURUHUSU KUCHIMBA MADINI NA PIA KUYAUZA MADINI HAYO POPOTE, KIKUBWA NI KUFATA SHERIA ZILIZOPO ZA UUUZAJI WA MADINI NA HII NI BAADA YA WEWE KUPELEKA MADINI HAYO OFISI ZA MADINI WAYAKAGUE NA KUYATHAMINISHA THAMANI YA MADINI HAYO NA KISHA UTALIPIA ASILIMIA 7% YA THAMANI YA MADINI YAKO.
YAANI BAADA YA WATU WA MADINI KUKAGUA MADINI YAKO UBORA WAKE NA WAKASEMA MADINI YAKO YANA THAMANI YA TSH 10,000,000/= (MILIONI 10) BASI HAPO UTALIPIA KODI ASILIMIA 7% YA MILIONI 10 AMBAYO NI: 7/100 × 10,000,000 = 700,000/= , HAPA UTALIPIA LAKI 7 KAMA KODI YA MADINI YAKO.
UKISHALIPIA KODI HII OFISI ZA MADINI BASI WATAKUULIZA VP UNATAKA MADINI YAKO UKAUZIE SOKO LA MKOA UPI??? UKISEMA NAENDA SOKO LA MKOA WA ARUSHA BASI WAO WATAYAFUNGASHA MADINI YAKO NA KUYAFUNGA SEAL NA KISHA WATAKUPA BARUA ILIYO ADDRESIWA KWA AFISA MADINI WA MKOA WA ARUSHA INAYOSEMA MPOKEEE MTU FLANI AMBAE ANA MADINI YAKE YA AINA FLANI AMBAYO YANAUZITO WA KILO FLANI NA TAYALI HUKU OFISI ZA MADINI MKOA FLANI AMESHALIPIA KODI MADINI HAYO KIASI FLANI HIVYO TUNAOMBA MPOKEE MTU HUYU ILI AUZE MADINI YAKE KATIKA SOKO LA MKOA WAKO...
HII BARUA UTAMPELEKEA AFISA MADINI WA MKOA UNAKOENDA KUUZA MADINI YAKO, YEYE ATAISOMA NA BAADA YA KUISOMA ATAKUAMBIA NENDA CHUMBA FLANI WAKAKUFUNGULIA SEAL ZA MADINI YAKO, UKIENDA HIKO CHUMBA WATAFUNGUA MADINI YAKO NA KUYAPIMA TENA KUHAKIKI UZITO ULIOANDIKA KWENYE ILE BARUA KAMA NI HUO HUO AU KUNA JANJA JANJA WAKISHA PIMA NA KUHAKIKI UZITO WA MADINI YAKO NA UKAWA SAWA BASI WATU HAO WATAKUKABIZI MADINI YAKO WATAKUAMBIA SASA KAZI KWAKO MADINI SHIKA MADINI YAKO KAZUNGUUKE KATIKA MAOFISI YA HILI SOKO UYAUZE...
UNABEBA MADINI YAKO NA SASA NDIO UNAANZA KUINGIA KWENYE MAOFISI UKIMALIZA KAMA NI KUBEBA PESA KWENYE SANDARUSI HAYA KAMA NI BENK TO BANK HAYA, UKITOKA HAPO CJUI UNAENDA STENDI KUKATA TIKET/ AU UNAENDA KIA KUFLY AU UNAKULA BATA WIKI MOJA KWANZ ..
umepiga kwenye mshono....Uko sahihi kabisa
Kwahio Madini hayana cha kina stamp duty n.k. na je huyu mchimbaji akiuza na mnunuzi kununua na kuuza na kununua..., Je hapo kila mnunuzi anatoa kodi zipi (sababu sio kila muuzaji ni mchimbaji)Upo sahihi kabisa ndugu...Stay blessed,hii ndio raha ya JF ku share ideas