Polisi wakamata dhahabu ya Sh milioni 140 ikitoroshwa, mtuhumiwa atokomea, atelekeza gari

Polisi wakamata dhahabu ya Sh milioni 140 ikitoroshwa, mtuhumiwa atokomea, atelekeza gari

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, lengo ni kukwepa kodi na tozo za serikali.

Aidha, linatoa rai kwa wafanyabiashara kutambua kuwa
Wamejuaje ni mfanyabiashara mkwepa kodi na sio jambazi limemchinja mwenye mali ?

Vichwa kama hivi vya polisi haviwezi ku solve crimes nchi hii!

Police Academy Moshi ifumuliwe.
 
Mmekuwa waovu sana mpaka watoto wetu wanakimbia Mali zao coz of umafia wenu.Ni kheri kama mmemwacha mzima
 
Yaani polisi wakamate dhahabu halafu waje waitangaze? Tangu lini? Mtu akimbie na kuacha gari kisa kakutwa na dhahabu? Haiinhii akilini hata kidogo, waseme tu ukweli, kwamba wamekutwa dhahabu za bilioni 2 na pesa taslimi bilioni 5 ila wao wakaamua kutangaza kiasi hicho kidogo cha kuzugia, pia waeleze walipoutupa mwili wa huyo mfanyabiashara, tumeshachoka sasa!!
 
Anatorosha kwenda wapi?Mtu bado yupo Mbeya ndani ya Tanzania useme anatorosha?.Kama alikuwa anaenda kutafuta soko zuri mkoa mwingine?

Polisi siwamini kabisa,ni majambazi yanayolipwa kwa kodi zetu.
Ile check Point ya Mbande iliyopo mbele ya Kongwa ranchi pale njia panda ya kwenda Mpwapwa ni shida nyingine, pale unatafutiwa makosa kwa lazima kila mara, IGP na wahusika wengine fanyieni uchunvuzi ile check point kwa ule mwenendo wa pale kitakuja kuleta shida kubwa sana
 
Mh! Hivi alishindwa kutoa rushwa akaacha zigo la namna hiyo..?
Huyu ndo mtu alieukimbia utajiri alasivyo ipo namna imetendeka kwa maisha haya uache 140 million!!!! Ha ha ha!.
Mkuu siku hizi hawa kenge hawapigi risasi miguuni, wanapiga kichwani asee...

Na kwa mazingira yanavyoonekana, jamaa atakua alikua kwenye rada ya kuchinjwa. Pesa hupatikana, but uhai ni kitu kingine
 
Dah,tuombee jamaa awe bado yuko hai.

Hata kama mimi ningekula nduki tu.
 
Ile check Point ya Mbande iliyopo mbele ya Kongwa ranchi pale njia panda ya kwenda Mpwapwa ni shida nyingine, pale unatafutiwa makosa kwa lazima kila mara, IGP na wahusika wengine fanyieni uchunvuzi ile check point kwa ule mwenendo wa pale kitakuja kuleta shida kubwa sana
Kuna nini hapo ungeelezea kidogo?
 
Hawa Polisi siku hizi wasivyoaminika hasa likija swala la madini hata kama ni mimi ningekimbia.

Na hapo swali la msingi ni je, kweli idadi iliyotajwa ndiyo iliyokamatwa?
Kwa polisi hawa wa Tanzania, hiyo habari ina ukweli wa 1%! Mtu kakimbia, walishindwa kumdhibiti? Kiwango kinacho tajwa kikubwa hufichwa. Akiwa hai ndugu washukuru.
 
Jamaa aliwaza akisimama wanaeza kumuondoa nn? au alipanic sana? bado story haijaniingia ila nahis aliogopa sana woga mbaya bado angeweza kumaliza huo msala kwa 10m
Bora upambane na simba 12 mwituni utaokoka kuliko kukutana na polisi wawili wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom