Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Polisi jijini Dar es Salaam wamelikamata gari lililokuwa na mizoga ya ng'ombe katika machinjio ya Tegeta. Kilichopelekea Polisi kufanya msako katika machinjio hayo ni taarifa waliyopewa na wasamaria wema walioshtushwa na harufu kali ya uozo kutoka eneo hilo
Habari za awali zilizopatikana katika eneo hilo zinasema kuwa wachinjaji ng'ombe katika machinjio hayo walikuwa katika maandalizi ya kuwachinja na kuiingiza nyama ya mizoga hiyo sokoni.
Habari za awali zilizopatikana katika eneo hilo zinasema kuwa wachinjaji ng'ombe katika machinjio hayo walikuwa katika maandalizi ya kuwachinja na kuiingiza nyama ya mizoga hiyo sokoni.