THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Ni hoja ulioamua kujifariji nayo toka jpm afariki..actually maisha yako yote utalaumu kila kitu kwake ambayo naona ni nzuri inaonesha alikuwa na nguvu kiasi gani katika hatima yako na ni kwa kiasi gani amejenga kibanda ubongoni mwako kiasi huwezi tenganisha chochote kinachoendelea fikrani mwako na yeye..u need see a shrink
Hakika umeongea kweli kabisa,
Magufuli kwenye suala la korosho kanitia umaskin Sana,nilikua na mzgo wa pesa nyingi sana wa korosho ambao kwa sera zake za hovyo na kuingilia mambo asiyoyajua kapelekea kuharibu biashara yangu ile na kuua msingi wangu mkubwa sana.
Niliingia shamba kupambana Nile jasho langu,yeye from nowhere akacheza picha lisiloeleweka kabisa,you just won't understand,and siwez kukulaum